Mwanamuziki Asifiwa na Wengi Kwa Kufanya Hili Jambo...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanasema ukipenda boga, penda na maua yake.
Kwa Diamond kumpenda Zari the Bosslady kunaamanisha kuyapenda pia maua yake matatu ya mwanzo. Unapompenda mwanamke ambaye tayari ana watoto watatu kabla yako, ni lazima ukutane na changamoto nyingi hasa za kutengeneza ukaribu na watoto hao. Wapo waliofanikiwa na wengi wameshindwa. Kwa Diamond lakini ameonekana kuucheza vyema mchezo huu na watu wamemsifia.

Jana ilikuwa ni birthday ya mtoto wa tatu wa Zari, Lil Q ambaye katika wote anaonesha kumkubali zaidi Diamond kuliko wale wawili wakubwa. Kuonesha kuwa anamkubali pia dogo huyo mkali wa kunyuka pamba, Chibu alimtumia salamu za birthday kwenye Insagram zilizowavutia wengi.

“Happy Birthday to my Little Handsome… Mr Swag on point… i know he’s your Bae.. @lilQ_is_Bae,” aliandika.

Kwa post hizo, Diamond alichukua pointi zake tatu jana.

Jiunge na Bongo5.com sasa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. janja tuu hiyo, ya kumfanya Zari aamini anapendwa. bado hamjui Dai

    ReplyDelete
  2. Kaamua kujipendekeza ki vingine ili ukweli wa kutembea na irine usijulikane. zugaaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad