Familia Yaingilia ishu ya Mwanaume Shoga Kumtaka Mwanamuziki Juma Jux...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Familia ya staa wa Bongo Fleva, Juma Musa ‘Jux’ imeingilia kati ishu ya mwanaume ‘tata’, mkazi wa Dar, James Delicious aliyetangaza kumtaka kimapenzi msanii huyo ambaye ni mpenzi wa Mwanamuziki Vanessa Mdee ‘V-Money’.

Akizungumza na Wikienda kwa niaba ya familia, dada wa Jux, Fatu-ma Juma alisema kuwa hakuna kitu kinachowaudhi kama kijana huyo kutwa kutangaza kumpenda na kumtaka mdogo wao huyo wakati wote ni wanaume na ni kinyume cha maadili ya kidini (familia ya Kiislam), Kitanzania na Kiafrika kwa jumla.

“Kiukweli familia inachukizwa sana na tabia ya huyo kijana ambaye haoni aibu, tunamtaka kuacha mara moja kusumbua watu akitaka namba ya Jux la sivyo tutachukua hatua za kisheria kwani anatukera sana,” alisema Fatuma.

Hivi karibuni kijana huyo alitangaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa lazima ampindue Vanessa kwa Jux kwani anampenda jamaa huyo kupita kiasi.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hmmmmm

    Familiya kuingilia kati
    Yeye hana mdomo

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata kama ilikuwa ni wewe familia ingeingilia wach ubumbavu mjinga mkubwa au na wewe ni mtoto hasara fikira kabla hujajibu mjinga mkubwa akili finyu thing before you utter your words

      Delete
    2. Kwa urembo wake ,makaaji
      Wala huuluzi mleteni uk akae mwezi tutayajuwa
      Macho huna , masikio huna
      Mdomo huna
      Jamani hata harufu ya kunusa huyu mtoto ni jora tunashindana mita tu
      Fyuuuu
      Ukuchu si kilema wala ugonjwa
      Wacha ale raha aipendayo

      Delete
  2. Kwa uzuri wake atakuwa naye yumo
    Ipo siku mtayajuwa

    ReplyDelete
  3. Mpelekeni Mombasa huyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad