Zari Akana Kuwa na Mtoto Mkubwa wa Kike Kama Taarifa za Mitandao zinavyodai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz, ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele za watu kuwa ni mdogo wake, Zari amekanusha taarifa hizo. ‘’Mimi mbona sina mtoto mwingine wa kike zaidi ya Tiffah tu, achana na ambao hawana akili wavuta bangi, wanatafuta kiki, hasira zao wananitolea mimi, anahangaika na maisha, nina watoto watatu wa kiume na mmoja wa kike na kila mtu anawafahamu hayo mambo mengine siyajui" Alisema Zari.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unafikiri atakubali na alishamficha Dai mpaka miaka yake?

    ReplyDelete
  2. anaona aibu siri yake imetoka kawa mdogo kama pillton. hata miaka aliwandanganya pia.

    ReplyDelete
  3. Bangi alishazivuta yeye wakati anamzaa Zulekha. than akamdanganya Domo anamiaka 36. kumbe 41. Aibu ya mwaka.

    ReplyDelete
  4. Teh Teh, napita mie

    ReplyDelete
  5. mpaka shoga yake Hudah nae kampa kichambo Mama zulekha.

    ReplyDelete
  6. Povu linawatoka. Kwani Nini? Tatizo mapenzi si yao. Wawili wakipendana wewe chukua jembe ukalime. Angalia ya kwako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo sio mapenzi yao,kwa nini asiseme kama ana mtoto kabla ya ivan?kuficha mtoto ni uhayawani.Kama kuna ukweli huyu dada ana laana.

      Delete
  7. Wanasemaga malipo ni hapahapa duniani,acheni Dangote aumbuke Kwa hili kama ni kweli,na inafurahisha sana maana kijana alijua kuchezea mabinti limbukeni huyu.Zamu yake kuinamisha uso sasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu huna akili wewe pia inaonekana ni kichaa malipo duniani katika lipi? aumbuke katika lipi? punguwani mkubwa acheni watu na maisha yao ya kwenu yanawashinda

      Delete
    2. Umeingia kwenye akili ya Dai wewe?ana mawazo na chozi katoa,hahahahahahah!chezea!wee jipe moyo tu.

      Delete
    3. Ati mama Tee,kwa nini sio mama ZULEHA.Nafwaaaaaaaaa!

      Delete
  8. WIVU WENU TU WABONGO !!!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wabongo?mbona hii habari iko juu zaidi huko Uganda?
      ukisikia kuumbuka ndio huku.Shiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

      Delete
  9. hata wewe Anony 11.40 na 9.35 AM. pia mnawivu na wapumbavu wa kufikiri. uso wa Zari na matusi yoote anaowatukana watz. hamuyaoni sasa kashikwa pabaya uso umemchuka na mtoto wa kwanza kajulikana. Karma is xxxxx

    ReplyDelete
  10. mtakufa kwa vijiba vya roho. zari achana nao hao wivu unawasumbua!!!!

    ReplyDelete
  11. PAYUKENI,TUKANENI LAKINI HABARI YA MUJINI SASA HIVI NDIO HII.HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,HOT,
    "SIRI SIRINI"HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!

    ReplyDelete
  12. Kwani tatizo Ni nini hata kama Ana miaka 50, au Ana watoto sawa na diamond, diamond SI kampenda mwenyewe kwani kalazimishwa na mtu. Hebu waacheni na maisha Yao, watajijua wenyewe.

    ReplyDelete
  13. Huyu binti wanasema Ana miaka 28 na zari mnasema Ana 41. Sasa Ina maana kamzaa huyu binti akiwa na miaka 12 au 13 khaa jamani hebu jiongezeni kidogo na mumuogope muumba,ILA zari na zulekha wamefanana hasa midomo. ILA warembo as if under 15, mashallah.

    ReplyDelete
  14. MREMBO ZARINA HASSAN NASSIB ABDUL WE WALA HUSWAKIE WABONGO HAWANA KAZI ZA KUFANYA ILI ZIWALETEE MAENDELEO..WAMEKALIA UDAKU SIO WABUNIFU WAO HAWAISHI NA UNAFIKI TU KUTWA KUCHWA HAYA HATA KM NIWAKE KIMEWAONGEZEA AU KUWAPUNGUKIA NINI NYIEEEEEEEEEEE..

    ReplyDelete
  15. POVU VEPEEEEEEEEEEEEEEEEEE. ANONY 9.10 PM

    ReplyDelete
  16. NAKUPONGEZA ZARI ZAA MAMA, UNAJUWA UNACHOKIPATA ACHANA NAO HAO. POVU LINAWATOKA MPAKA AIBU. INAHUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  17. ZARI HAJAWATUKANA WA TZ WOTE, KAMTUKANA MBAYA WAKE. NA KAMA TUSI LA ZARI LINAKUUMA BASI WEWE NI MHUSIKA MKE MWENZAKE. SISI WENGINE HATUMO. ETI OOOH DAI HAZAI SASA MBONA MNALALAMA!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad