Mtangazaji Gerald Hando Afunda Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Joto la Asubuhi katika Kituo cha Radio cha Efm, Gerald Hando amefunga ndoa juzi Jumamosi, Agosti 20, 2026 na mpenzi wake, Miriam Kitenge.

Sherehe ya harusi hiyo iliyokuwa ya aina yake ilifanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip uliyopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam ambapo baadhi ya mastaa walihudhuria huku mwanamitindo maarufu, Sheria Ngowi akiwa ndiye mbunifu wa mavazi ya maharusi hao.

Hando ameuaga ukapera na kuanza kufurahia maisha mapya ya ndoa na mkewe Miriam kama walivyofanya mastaa kadhaa hivi karibuni wakiwemo mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ wa Orijino Komedi na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. golden tulip haipo posta ipo osterbay or masaki

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo bado mbwinga anonymous 8:23 kwa kuwa kuna Golden Tulip ya Mjini kila kitu kushangaa na kubishaa bisha na ndoa basi tukujue kama kweli we ni muha. Pfyuuuuuuuuuuuu

      Delete
    2. Kuna nyingine mpya ipo posta naijua

      Delete
  2. gauni la arusi mmm noooo!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad