H: Baba Amponda Diamond Kwa Kupost Nyumba, Asema Kama ni Mkweli Aonyeshe Hati

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

H Baba amemponda Diamond kwa kupost nyumba kisa eti Ali Kiba katuma, amesema kama yeye ni mkweli ana nyumba aposti hati ya nyumba, sio mwenzake akipost nyumba naye anapost

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. H-baba kweli unawivu kati ya ali kiba na dai nani alionyesha nyumba wa kwanzà? Dai alionyesha hiyo nyumba kitambo na mkamtukana kuwa nyumba siyo yake anadanganya ooh bado hiko sokoni sasa léo anaku onyesha wewe dume shupa kuwa ni yake sasa mzuka wà wivu unakupanda Kisa ooh H baba maisha yamemshinda.kenge we jitahidi na wewe upate.

    ReplyDelete
  2. hili domo bishoo kweli, umesema kweli H baba, apost hati cyo nyumba tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. post ya kwako kwanza mbwa wewe kwa ni hati ni nini?

      Delete
    2. tafuta kazi yakufanya wewe cyo kushobokea vitu vya wengine!! ww ni kati ya mshamba mmojawapo unayejiita TEAMDOMO!!

      Delete
  3. sioni ajabu diamond kutangaza nyumba mbona kawaida sana jamani!!!

    ReplyDelete
  4. kila kitu mtu akiukosoa ushamba, watu wanakimbilia kusema ni wivu, hakuna cha wivu wala nini? anachofanya huyu domo ni ushamba! watu wenye pesa zao hawajionyeshi onyeshi hovyo!

    ReplyDelete
  5. Ndo u star kuonyesha mafanikio yako huoni wakina kim,jz wanavyo jitangaza. Wanakodoa kodo mtaisoma number

    ReplyDelete
  6. Hahaha kwanza walidai DNA ya Tiffah. Sasa wamenyooka na kufyata. Wamehamia kwenye nyumba. Poleni sana.

    ReplyDelete
  7. Diamond anafanya biashara ya popularity, kwa hiyo ni haki yake kuandika chochote kitakachomfanya kuwa kwenye headlines. Tatizo lake ni kuwa anapost kusimanga au kutukana wengine. Angekuwa anapost tu kama "at last baada ya mihanganiko naingia nyumbani kupumzika" na kuachia hapo bila kumlenga mtu yeyote, asingekuwa anasababisha hizo tafrani. Ila yeye huandika ule uswahili wa mipasho ya Tandale kama vile bado yeye ni mtu wa Tandale wakati anajijua kuwa ni mtu wa kimataifa. Hata kule kumtukana aliyekuwa mme wa Zari na watoto wake wakati yeye mwenyewe hajawahi kuandika lolote kuhusu Diamond na Zari ilikuwa ilikuwa ni jambo ambalo sijui alilitoa wapi. Tangu Zari akutane na Diamond alikuwa akiishi na kulipiwa gharama za maisha na jamaa yule, na bado humwita kama sekretari wake. Mpambe wake ndiye aliyekuwa hapatani an Zari siku zote hata kabla hawajaachana kutokana na umalaya wa Zari enzi hizo, na ndiye aliyekuwa akiandika upuuzi wote ule. Diamond angelenga yule jamaaa tu na kuachana na familia ya Zari, lakini ndiyo hivyo yameshatokea- keshavunja familia ya Zari kwani hata watoto wake hawana imani naye tena. Kama wasemavyo wahenga, ngoma ikilia sana hupasuka, na unapopanda mlimani wasalimie unaokutanao nao njiani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kuna usemi unasema MASIKINI AKIPATAAA.........!!!!!!

      Delete
    2. Inaelekea wewe unaishi kwenye kibanda umiza, ndio maana povu linakutoka kwa mawivu, onyesha ya kwako, hili ni zama za ukweli na uwazi, Diamond amezitafuta jasho lake, hajaiba, na wala hajamuibia mtu, wacha auwonyeshe ulimwengu matunda ya jasho lake, umpongeze, tatizo wenye wivu, macho kodoooo!!!!!! Wanakodoa hao na maneno inawatoka

      Delete
  8. Hizi timu hivi mnalipwaga au maana mipovu mingi haina maana wote washamba

    ReplyDelete

Top Post Ad