Sakata la Kununua Viewers You Tube: Ommy Dimpoz Aumbuliwa na Mwakilishi wa You tube E.Africa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Ommy Dimpoz kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommy ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa watu hununua views alisema kuwa hata yeye aliwai kutaka kununua...

Lakini kabla ya hayo tuhuma hizo dhidi ya Nasibu Abduli zilikuwa zinatolewa kwa uwoga na msanii Ali salehe lakini wengi wafatiliaji walikuwa wanaelewa kuwa anaye tuhumiwa ni Nasibu Abduli..

Wanasema uongo ukiongelewa sana bila kukanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa ukweli na wale wsiojua ndio huamini kabisa ni kweli.

Leo Clouds Fm waliamua kumtafuta muwakilishi wa You tube East Africa kumuuliza kama kweli watu wanaweza kununua views au viewers na wao wasigundue na kuchukua hatua..
Kwanza Mwakilishi yule aliweka wazi kabisa wao hapa East Afrika wanasimamia na ku control you tube channel za wasanii baadhi East Africa na kwa Tanzania wanasimamia Channel za kina AY,Mwana FA, wasanii wa wasafi wote na Alikiba.
Mwakilishi huyo aliendelea kufafanua kuwa ni vigumu mtu kununua viewers you tube na wasigundue na kuwaondoa na akaendelea kusema You tube ina wataalam wabobezi sana na wanajua kuna watu wanaweza fanya hivyo na hivyo wamejidhatiti sana kumfumo.

Aliendelea kusema kuwa kama ukinunua views wanafungia account yako na hutoweza kufungua account yeyote ile google na gmail account wanaifunga na alisema kuwa kamwe hawawezi kumruhusu mtu kununua views halafu waje kumlipa na haiwezekani.

Alipo ulizwa kuhusu Diamond kununua views alisema hakuna kitu kama hicho na hawewezi kuruhusu mtu anunue views halafu waje kumlipa na kamwe hawatoruhusu hilo hivyo habari hizo si kweli.

Hivyo mwakilishi wa You tube amehitimisha tuhuma na kufunga mjadala mzima juu ya ununuaji wa viewers na ni wazi habari zimemuumbua Ommy Dimpoz

Ommy anapashwa kujitokeza hadharani nakumuomba radhi Bwana Nasibu Addul.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Google how to buy viewers... UTAPATA JIBU WAZI......TUSIDANGANYANE VIEWERS ZINAWEZA NUNULIWA KWEUPE!!!!

    ReplyDelete
  2. hv unafkr huwa wanakubal makosa yao kwny mtandao wao,wao wako kibiashara hawez kuhiarbia sfa mtandao wao.kama kudukua mtandao mkubwa ambao kla cku inachukuzwa isiwe kudukuliwa na watu wanadukua unafkri kukununua view inashndkana

    ReplyDelete
  3. Kabla hamja anza kupiga kelele angalieni mafanikio ya anaye nunua view na asiye nunua mtaona. Mondi anachapa kazi bwana na matunda yake yanà onekana, sasa hizo zingine ni kelele za chura.

    ReplyDelete

Top Post Ad