Mapokezi ya Diamond Gabon Yatisha,Apokelewa na Rais wa Nchi Hiyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

diamond-3
Diamond akiwasili nchini Gabon.
MKALI wa Afro Pop, Diamond Platnumz jana alitua nchini Gabon na kupkelewa na rais wa nchi hiyo, Ali Bongo ambapo msanii huyo anatarajiwa kufanya shoo kubwa kwenye uzinduzi wa Mashindano ya AFCON nchini humo yanayoanza leo.


Katika mechi za ufunguzi Kombe la AFCON, leo michezo miwili itapigwa ambapo wenyeji Gabon watakuwa wakimenyana na Guinea-Bissau saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Angondje huku Burkina Faso wakikipiga na Cameroon saa 4:00 usiku kwenye uwanja huohuo.
diamond-4
diamond-5
Diamond akiwa katika picha ya pamoja na Rais Ali Bongo wa Gabon pamoja na msanii wa Nigeria, David Adekeye ‘Davido’, Akon pamoja na wasanii wengine na watoto nchini humo.
diamond-2 diamond-3
Rais wa nchi Gabon, Ali Bongo akisalimiana na Diamond Platnumz.
diamond-4
Diamond Platnumz akisalimiana na Akon. 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. cha ajabu ni nn? kusalimiana na Rais.

    ReplyDelete
  2. Kuna watu walio kata tamaa maishani, kwa hiyo kila jambo la wengine wao ni kuponda tu. yaani kama wanga tu. sababu ya msingi hamna. Mtu asiye hata na kibanda ana plan mia za jinsi ya kujenga nyumba na siku zote ni kuponda kila msingi anaouona unaanza kujengwa. Badirika!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad