Hii Ndio Barua Nzito Aliyoandika Shamsa Ford Kwa Mumewe Ambaye Amehusishwa na Kesi ya Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hakika ukipata mwanamke Kama huyu usimuache... Na huu ndio ujumbe wa shamsa kwa mumewe .


Shamsa Ford ameandika Haya:

Nilipoolewa nilijua ipo siku nitapitia hivi vitu huzuni,furaha, maudhi, kudharauliwa, kuchekwa na nk.ila pamoja na yote hayo haitabadilisha mapenzi yangu kwa mume wangu kipenzi. Nina amini kuwa wewe ni mume aliyenipa Mungu na wala Mungu hakutukutanisha kwa bahati mbaya.

Dunia nzima ikuzomee na kuamini kile wanachoamini lakini jua una mke anayekupenda kwa dhati .Ninakujua, ninakuamini na kukupenda sana ndomaana niliolewa na wewe kwasababu nilijua utakuwa baba bora kwa mwanangu kama ambavyo ulivyo sasa..

Nina amini Mungu anapotaka kukupeleka sehemu anayoitaka yeye lazima akupitishe kwenye mitihani. Hii ni mitihani ya Mwenyezi Mungu na nina imani in shall ah yatapita..Nakupenda sana mume Wangu kipenzi Rashidi..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwambie ahache ungua mambo mengine hayatuhusu.

    ReplyDelete
  2. tutakuona kama kweli aun ezekiel alisema hivyo hivyo kaona kachoka akamsaliti mumewe akiwa gerezani kama unampenda mumeo si mwenyewe anakuona na hata ukimwambia mwenyewe tu inatosha matangazo mengi ya nini muwe mnabeba na mabango basi mtembee nayo msiishie mitandaoni tu wengine hawana mitandao ya kuona mambo yenu heri mkibeba na mabango kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad