Janga la Lissu , Lema Lilimkosa Kosa Ester Bulaya Asimulia Alivyofuatiliwa na Gari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Janga la Lissu , Lema Lilimkosa Kosa Ester Bulaya Asimulia Alivyofuatiliwa na Gar
Mbunge wa Bunda Mjini Ester Amos Bulaya, amesema matukio hatarishi ya kiusalama yanayowatokea baadhi ya wabunge wa CHADEMA likiwemo la Lissu na Lema, ililikuwa limkute na yeye ispokuwa aliwahi kujisalimisha polisi.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Television, Ester Bulaya amesema aliwahi kufuatiliwa na gari ambao alikuwa na mashaka nalo akielekea mkoani Arusha, hali ambayo iliibua hofu kwake na dereva wake, na kwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha Usa River.

Ester Bulaya amesema siku hiyo wakiwa njiani kuelekea Arusha, dereva wake akamwambia anaona kuna gari inawafuatilia, na walipowakaribia walishusha kioo upande aliokaa Ester Bulaya, na ndipo akaongeza spidi zaidi kuweza kuwatoka na kwenda kuingia polisi kutoa taarifa, na kuwapa ulinzi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wasiojulikana.
    Je. Polisi wanakauli yeyote?
    Ni usalama wa raia tunauzungumzia. Nadhani mlitoa maelezo. Kama mlitoka nao mbali na kutoa maelelezo ya gari kwa nini washindwe kulishika gari. Ni kuangalia tu laisense na kugundua gari geni mkoani hapo. Within nusu saa na mlikuwa karibu na hilo gani, kwa nini waendelee kuwa watu wasiojulikana. Na nguvu mnazo?

    ReplyDelete
  2. Acheni kupandikiza fear kwa wananchi. Mkiitwa police kutoa ushahidi wa maneno yetu, mnaishia kupandisha pressure. Siku hizi imekuwa nadra sana kumsikia mbunge anasimamia kwa dhati mambo yanayohusu jimbo lake.Tutamkumbuka daima marehemu D.Filikunjombe ambae alikuwa bega kwa bega na watu wake

    ReplyDelete

Top Post Ad