Video: SportPesa wametupa ujanja wa nje ya uwanja – John Bocco

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na kikosi cha wekundu wa msimbazi,Simba SC, John Bocco ameeleza namna alivyofurahishwa kwa kufika katika ofisi za wadhamini wao ambao ni kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa na kutumia nafasi hiyo kujifunza vitu ambavyo alikuwa havifahamu kama mchezaji.




Bocco ameyasema hayo baada ya kuzungumza na Bongo5 katika ofisi za SportPesa.

“Kwanza ni furaha kubwa hatujawahi kufika pia imekuwa fursa kwetu kujifunza vitu vingi ambavyo tulikuwa hatuvijui kuhusu SportPesa na kubadilishana mawazo na wadhamini wetu.”Amesema  Bocco



Jonh Bocco ameongeza “Naamini vitu vingi tulikuwa hatuvijui ambapo leo tumeweza kujifunza kama unania na umeelewa nini kilichosemwa unaweza kujua ni kwa namna gani unaweza kujiendeleza nje ya uwanja.”

“Wazamini wetu wa SportPesa tunawashukuru kwa kuweza kutupa kitu kizuri ambacho ni darasa zuri kwetu kwa maisha yetu ya baadae.”


Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Simba SC msimu huu baada ya kumalizana na timu aliyoichezea kwa misimu 10 mfululizo Azam FC.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni"WADHAMINI"Na sio"WAZAMANI"Msikiharibu kiswahili nyinyi washamba mnaudhi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Ni"WADHAMINI"Na sio"WAZAMINI"Msikiharibu kiswahili nyinyi washamba mnaudhi kweli kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad