UTAFITI: Watanzania Wamepunguza Kuwaamini Wawakilishi wao wa Kisiasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kulingana na utafiti wa Twaweza, idadi ya wananchi wanaokubali utendaji wa madiwani imeshuka kati ya mwaka 2012 na 2017 kutoka asilimia 85 mpaka 59.
-
Pia waliokubali utendaji wa wabunge imeshuka kutoka asilimia 79 hadi 58.
-
Unadhani kwanini watanzania wamepunguza kuwaamini wawakilishi wao?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uongo wa chama Tawala. kunyimwa kwa demokrasia. Kuwaona viongozi kama yule aliyeipeleka Escrow, na kumwona jinsi alivyolegea na kuwa mwana CCM. hii inachangia watu kuto kuwaamini. Kuzuia Katiba na kuendesha nchi bila mwogozo safi na kutegemea akili ya mtu mmoja. Kuona kutokuupata ufumbuzi wa mambo mengi. Kutekwa, kuvamiwa hadharani kupototosha umma, hii inawakatisha Watanzania wengi. Zile hekaheka za nyuma zote zinazimishwa na kurudi kuwa kodoo wasio na brains. Whats a pity.

    ReplyDelete

Top Post Ad