AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wazo lingine linanijia la kwenda kuhoji wafanyakazi wa benk husika ili wanitajie hiyo tranfer imetoka kwa nani,
Naombeni mnisaidie nifanye nini maana hizi hela mi nazitamani nimefulia,i mean naombeni ushauri jamani.
Jina la bank nalihifadhi ila kama mkitaka naweza litaja.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Account si ni yakwako? We kula bata
ReplyDeletewee kama una shida kachukue mpunga huo!hujaiba ziko kwenye imaya yako.wakija kukurupuka kubali na ahidi kulipa utapopata basi.huwezi fungwa kwa kuwa ulizitoa kwenye account yako.
ReplyDeleteWe nenda jifanye kama hujui chota zote wachie elfu ishirini tu na wakikustukia wew waambie ulidhani bank wamekudhalishia ndio maana wakakuwekea hicho kiasi, so hata hizo elfu ishirini ulizoacha unategemea zizalishwe pia full stop usiwe na. Maneno mengi kaka.
ReplyDeletenaona kama unachelewa hv ila omba bank statement utamuona aliyekuwekea pesa ni nani.
ReplyDelete