AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
NTAENDELEA KUWA UPDATE.....
Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???
By bampami
Source:Jamii Forums
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
majangaaa
ReplyDeletewatatuvuruga sasa kwahiyo vingamuzi 3 tv 1 du!kweli dijital noma haya tuteseni tu
ReplyDeletestar tv washajitoa sanyingi kichiz
ReplyDeleteKwani TCRA inafanya kazi gani? Kwa nini isicontrol hii ishu maana tuendako kila TV station itakuwa na king'amuzi chake!
ReplyDeleteMatatizo ya viongozi wetu ndiyo kutuletea majanga kila kukicha hata waliofunga ZUKU hawapati ITV, Mi nilikuwa nikiona nyumba ina MADISH matatu nilidhani ni kuonesha jeuri ya fedha kumbe nao wanateseka mauzauza haya.
ReplyDeleteHawa TCRA walikuwa wanatuambia wao pia wanafuatilia kwa umakini mkubwa, sasa yako yapi? acheni siasa jamani mnatuumiza. Na vp kuhusu TVZ inapatikana kwenye kisimbuzi kipi? michelin DAR.
ReplyDelete