AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya jana Cocacola kumchukulia private jet toka Nairobi hadi Dar es Salaam, Bongo Flava Prince, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji wa tangazo hilo alizoziweka kwenye Instagram, Diamond anaonekana akitembea huku akinywa soda hiyo.
Source:Bongo5
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mmmmmm haya yetu machoooo
ReplyDeleteHaya majanga sas bada kufulia anarudi,huu ni mikwara 2 mbona alitangaza kuokoka y alishindw wokovu?
ReplyDelete