AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Godbless Lema akiwahutubia wananchi wa sombetini arusha leo amesema lisu ni mtu muhumu sana ktk nchi hii anapwaswa kuombewa aishi miaka mingi kwasababu amekua msaada mkubwa kwa taifa na chadema,kwasababu ni mtu mwenye kupenda haki na kuisimamia,nadhani mmesikiliza hotuba ya rais jana lisu ndio alikua gumzo na kama lisu ni muongo mbona amekubali kukutana na Nccr, Cuf na Chadema, Lisu ni mkombozi wa Taifa.
-JF
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Kwa nini usiombee chadema iishi milele na wapiga kura aw Arusha wasife ili waendelee kukuweka Mjini? Lissu na wananchi aw Arusha nani muhimu? Kumbe we kukaa sana gerezani umeanza kuwa choke eeeeeeh?
ReplyDeleteUnaumwa sana wewe uliyesems hapo juu kama huna cha kusema nyamazs
ReplyDeleteUncle samy singida. M2 mhimu lazima kuombewa aishi mda mwngi kw uwezo MUNGU we unaepinga LISU acombewe unaumwa MAVI ya CCM nenda kaoge kama vp nitokee 0712420210
ReplyDeleteanaye mponda lissu anipe namba yake
ReplyDeleteTaifa la Tanzania tujivunie kuwa na Tundu Lisu, tuombe tupate watu kama TUndu Lisu 30 tu wananchi wa tz wataishi kwa kujiamin na serikali itakuwa wazi ktk kila jambo linalohusu wananchi wake. God bless Tundu Lisu.
ReplyDeletetutazidi kumuombea mungu amzidishie maisha
ReplyDeleteEwe mungu muweke LISU hai kwa muda utakao wewe muumba ila tunamuitaji sana kwa ajili ya kutukomboa cc mateka wa haki chini ya utawala wa ccm. Eee baba wa mbinguni nakuomba hayo ktk jina la mwanao YESU. Ccm ishindwe iende kuzimu amen
ReplyDeleteLisu noma namuelewa sana
ReplyDeleteNamwelewa cna Bro Lissu
ReplyDeleteWell done tundu we noma usilegeze tuko pamoja
ReplyDeleteTundu tumia hekima zaidi wewe ni mzalendo kama mandela walimfunga lakini haikusaidia kazikwa kwa heshima zote watakuyumbisha ila lazima kieleweke god bless you
ReplyDelete