AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nay anaamini kuwa mambo ya ajabu anayoyafanya Chid anashawishiwa na kutumwa na Madawa pamoja na Pombe zake na ndiyo maana pia anagombana na watu ovyo ovyo.
Kwa upande wa Vitu anavyovipenda hadi leo kwa Chid Beenz ni Flow yake na anavyoitune Sauti yake hapo ndipo Ney anaposema kuwa hata sauti yake inatokana kic kidogo na Sauti ya Chid kwani alikuwa anatamani kuwa kama Chid Kitambo hicho.
Ushauri wake ndo ukafikia hapo kuwa Chid aache Madawakama alivyoahidi kuwa anaacha na kusema kuwa kama angekuwa ameacha tungeona amebadilika.
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sure.
ReplyDeleteNey wa mitego mchokozi sana
ReplyDeleteWanaume watakutigolize We Ney usipoangalia vizuri
ReplyDeleteSasa umezidi jiangalie Ney,maana uchokoz umezidi kiwango
ReplyDelete