P SQUARE WAMUUMBUA DIAMOND PLATNAM..!! HAYA NDIYO WALIYOSEMA

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa mbali mbali akiwenmo msukumba gozi wa Totenham Hotspurs Adebayor.

Awali kupitia blogs mbali mbali kulisambaa taarifa kuwa dimond alikua mwanamuziki pekee afrika mashariki aliyealikwa katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na tajiri nambari moja afrika, Aliko Dangote.

Blogs hizo zilikwenda mbali kwa kumpamba diamond kwa vyeo vya ajabu ajabu ikiwemo Michael Jackson wa afrika mashariki jambo ambalo lilisababisha wengi kumponda.

Akihojiwa na kituo cha EATV mara baada ya kuwasili jijini Dar kwa ajili ya shoo iliyopigwa viwanja vya leaders club, Okoye alishangazwa na taarifa za dimond kuhudhuria katika harusi yake.


Okoye alikua akijibu swali aliloulizwaa na mtangazaji wa kipindi cha HotMix Adrian Hilary kuhusu diamond kuhudhuria harusi hiyo ambapo alionesha kushangazwa na jina hilo na kuhoji Diamond ni nani?

Kushangaa huko kulimaanisha licha Diamond kujichezesha mbele ya Okoye siku ya harusi yake lakini mwanamuziki huyo hakua akijua aliyekua akimzungushia viuno vya ngololo ni nani.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

43 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. kwani kuna maana gani mpaka myaseme hayo kama si WAKUDA WAKUBWA NYIE, mnafikiri ni rahisi kumkumbuka kwani ni rafiki yake, na kwann useme kujichekesha MBONA MNAPENDA KUWADIDIMIZA WASANII WENU WENYEWE. kweli TANZANIA TUTABAKI HIVI HIVI. WE MWENYE BLOG HII SINAUWEZO WA KUKUFUNGA KATIKA SIKU ULIZONITUBUA LEO UMENITUBUA ITS BETTER NIJITOE KWENYE HII, NOTHING I LEARN HERE.

  ReplyDelete
 2. Huyo mtoto Diamond amezidi kujikweza.....acha akomeshwe manina zake......

  ReplyDelete
 3. Roho mbaya tu zinawasumbua.

  ReplyDelete
  Replies
  1. acheni kujipendekeza,ona sasa aibu aliotutia,kumbe hata hawamjui masikin weeeee

   Delete
 4. ulitaka atupe habari gani mwenye blog?! habari kama hii ni muhimu sana..duh dogo yupo chini sana hata zimbambwe hawamjui kabisaa

  ReplyDelete
 5. Sasa kwani lazima uwajue watu wote wanaohudhuria sherehe yako..? Mbona watu tunahudhuria sherehe nyingi za mshkaji wa mshkaji wangu.. Tunachangishwa michangu ya shemeji yake mfanyakazi mwenzetu na tunahudhuria au mshkaji ana-complimentary ya kuingia sehemu fulani anaomba nimpe taff twende wote... Na kama alimaanisha hamtambui kimuziki basi amuulize Davido, Iyanya au M.I.

  ReplyDelete
  Replies
  1. sure thing bro...mi hii hbr sijaona msingi wake! huu ni udaku tuu na ukuda.....amepga nae pic tumeona....na sio lazma amjue kihivyo(nahic atakuwa anamjua kwa jina la Platinumz labda ...au alouliza alitaja jina la Naseeb ,) hhhhhhhaaaaahhh

   Delete
  2. Kweli umenena, huyu si mshamba tu hata hajui ananchokinena

   Delete
 6. mh! wacheni uongo huo looooooh! badala muwafagilie wasanii wenu ndo mnawakandamiza kwani diamond hawezi kua km p square.anaweza kua zaidi ya hao acheni majungu hayo,uzandik na chokochoko zaidi acheni uongo,

  ReplyDelete
 7. Wewe unayemiliki hii blog ni MSENGE

  ReplyDelete
 8. Mkubali,mkatae,mumponde, mwenzenu ndo kesha jaaliwa achen chuki binafsi wee unae sema kazidi kazidi nn?achen roho mbaya wasenge nyie mtakufa kwa chuki binafsi yuko juu na atazidi kuwa juu

  ReplyDelete
  Replies
  1. mdau acha hasira kama vile kakuoa,kwan alitwa?

   Delete
 9. tatizo sio kuhudhuria tatizo kupanda ndege mpaka nigeria wakati hajaitwa huku anatudanganya sisi kuwa kaitwa,huko ni kujipendekeza,mbona kuna harusi kibao zinafanyika hapa dar yeye yupo tu haendi?akaamua kujipeleka nigeria kututia aibu na swalisuni yake eti kaalikwa wakat hata hajulikani?kwenye ukweli lzm tuseme

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kweli kabisa magazeti nayo yakaandika eti Mtanzania pekeee aloalikwa kwenye arusi ya P Square wakati alizamia tu anajulikana in Tanzania, Kenya , Uganda, Rwanda, Burundi, Congo kwingine tupilia mbali mana akialikwa hata Marekani ni wale watu waongea kiswahili watakaofika kumsikiliza lakini wengine hawamjui kabisa. Kwa hiyo msidhani eti anajulikana Africa nzima si kweli. Aboreshe lugha ya kingereza itamsaidia zaidi

   Delete
 10. kumbe platnum hawamjui akina p square

  ReplyDelete
 11. Jambo la mcng ni kwmb alihudhuria haruc hyo mengn ni yenu wanafiki.

  ReplyDelete
 12. Buahaaahahahahahahahahahahaahahahaha......
  Duuuuh! Unasema??????

  ReplyDelete
 13. Acheni usnge, dogo anajua.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mtoa habari hajasema domo hajui,ila tunasema kwanini ajipeleke wakati hajaalikwa?na akatudanganya kuwa kaalikwa?

   Delete
 14. msenge mkubwa,hapo mwenyewe mnyama d hakujui hata kidogo.

  ReplyDelete
 15. wamjue wasimjue aalikwe harusini asialikwe kikubwa dogo anajua!!!na najua mnajua hilo!!!

  ReplyDelete
 16. jamani kweli wa kale wlisema nabii hakubaliki kwao! ni hivi mpende msipende diamond diyo kasha toka hivyo! ukubali usikubali ameshawacha sana baadhi ya tz, kimaendeleo na ukizingatia alipotokea au alipoanzia.Tatizo la waTZ hawapendi kumwona mtu anatoka ktk hali ngumu ya maisha aliyonayo,before na shida ingine hawataki kuelew ya kuwa diamond km diamond ni juhudi zake zimemfikisha hapo alipo na Muumba wake akamwekeea mkona na kubariki kazi zake, siri ya diamond ya mafanikio ni juhudi zake na nidhamu ya kazi yake na pia kumwamini Muumba wake, na baraka kwa wazazi wake haswa mama yake, ambaye haishi kumtaja ya kuwa anampenda sana mama yake na kumweheshimu pia, so nadha hii ndio source ya yeye kupata mafanikio. Sasa basi chakufanya sio kumnanga na kumbeza mtoto wa watu bali ni kuzidi kumtia moyo na kumkosoa kwa ustaarabu mahali anapo kosea kama mwanadamu,na kumsifia anapofanya vizuri.Jamani watizedi wivu, chuki,roho mbaya, kamwe haitatusaidia, mtu na afikirie vipi naye atatoka kwa juhudi zake na kufanya kitu ambacho kitaweza kumtoa alipo, pasipo kujeruhi hisia za watu ni hayo wandugu, tupendane, tueshimiane, tu -support,na Mungu siku moja na wewe au mimi tutatoka kama diamond tukitia juhudi.

  ReplyDelete
 17. Acheni kusema mengi Diomond akitaka kujulikana sehemu nyingi za Africa ajitahidi kutunga nyimbo zake kwa English mana hiyo itamuweka juu zaidi kulikoni anavyoimba hizo za kiswahilini haina haja ya kumponda ila mpeni ushauri kitu ambacho kitamsaidia kumuinua zaidi ili apige hatua mbele zaidi. Mfano Celine Dion alikuwa hajui English because anazaliwa in Quebec provance inayoongea French but ili kwenda mbele zaidi utasikiliza nyimbo zake in French or zingine za English mana ilimlazimu kujifunza kingereza kwa nguvu in one month alikuwa tayari ameanza kutunga wimbo wa English leo anajulikana dunia nzima so ni vizuri kwa Diomond kuweka some effort ili nyimbo zake zisikilizwe na wengi itamsaidia kujulikana zaidi. Hayo ni maoni yangu tu

  ReplyDelete
 18. domo ulizamia teh teh TANDALE n TANDALE tu duuuuh hukubush party msoc lkn hahaass my ribs

  ReplyDelete
 19. diamond ni mkali ila katika hili katuangisha mbaaaaaayaaaaa

  ReplyDelete
 20. wewe ulosema daimond anaweza kuwa zaidi ya p squire hawezi ila tunamkubali ps watabaki kuwa wao na watazidi kuwa wao mana ni wabunifu mno

  ReplyDelete
 21. Jamani Diamond hakujiandaa juhudhuria ile harusi, alikuwa tu akipita njia akasikia midundo ukumbini, akawauliza waliokuwepo nje ya ukumbi " jamani kuna nini hapa?" wakamjibu kuwa kuna harusi ya Peter wa Pxp, basi kibongobongo ikabidi azamie ili apate cha kusimulia nyumbani. Hata ile pedo aliyoivaa inaonyesha kabisa kuwa alikuwa akipita njia tu. Tusimlaumu jamani ni ushamba tu, lkn utamuisha tu!

  ReplyDelete
 22. Pole domo pesa za utoto,lkn yote kutafuta umaarufu.

  ReplyDelete
 23. Hahaa safi sana ngololo achezee uku uku mAmae kule ni chop ma monEy personal na unyama mkubWa mamae kameZidi kujiona lil wayne

  ReplyDelete
 24. Akikujua mungu na riziki akakupa inatosha! Wengine c lazima

  ReplyDelete
 25. umenena!!! watu wanajaribu kufanya maendeleo japo kuinua pato la taifa, hivi unafikiri wale vijana ambao wako na diamond asingekuwepo wangekuwa wapi? hata kwa hilo tu hamuwezi kumpongeza au ndio UNAFIKI WENU na WIVU WA KISHAMBA. MWACHENI DIAMOND WAKUDA WAKUBWA NYIE. NAPENDA WATU AMBAO WAENDELEA KIMAISHA haijalishi hapo nyuma alikuwa na maisha ya aina gani, bill gate anasema KUZALIWA MASIKINI SI KOSA LAKO, ILA KUFA MASIKINI NI KOSA/UZEMBE WAKO. mwacheni achanye maisha nyie mbona watu hawawafuatili na huu ukuda wenu. IFIKIE WAKATI WATANZANIA TUBADILIKE, TENA MABADILIKO CHANYA

  ReplyDelete
 26. chinekeeeeeeeeeeeeeeeeee,naomba miwani ni zoom hii taharifa

  ReplyDelete
 27. hivi la ajabu lipi ni mara ngapi unapata kadi ya harusi unaenda na mwenye harusi hakujuii sasa la ajabu ni lipi kwa diamond jamani mumuache diamond mtoto wa mwanamke wa watu miaka 800. kama uko kwenye kamati kuu ya kikao fulani cha harusi unapewa kadi unapeleka na wewe kwa marafiki zako je watakuwa wanamjua huyo anaye oa, au kama hakuna mchango mtu anakupa kadi anakupa 5 hizi utakuja na rafiki zako je ni lazima kila aliyepewa kadi ajulikane na mwenye harusi acheni kumchukia sana mungu hapendi. halafu mnavyozidi kumchukia ndio mnamzidishia mara 100

  ReplyDelete
 28. we unaejifanya kumbeba dia mbona kama mdada wake vile habari za hao vijana wangekuwa wapi zinatoka wapi? penye ukwel lazima asemwe kaosha msanii afrika mashariki tena ni pekee aliyealikwa harusini kumbe siyo huo ni ufala kuzamia pia anajishushia hadhi haiwezekani aalikwe afu walomualika hata hawamjui ila so mbaya anadumisha mila mtoto wa uswahilini kuzamia kawaida kabisa.

  ReplyDelete
 29. mti wenye matunda hupondwa mawe, ubaya wenu wengi kayumba elim mlitupa sanda kalawe

  weeeeee ungesikia kuna harus ya lilwine manzese usingeenda hata kwa kukopa nauli leo diamond kajibeba mwenyewe kwenda nigeria umewashwa,halaf unajua hata kabla ya p-square weddn alikuwa nigeria na mambo yake,kama ukikumbuka ishu ya pen alipigiwa sim akiwa nigeria na mwandish mmoja hivi weeeeeeeee umesikia tu wanasema p-square unajuaje kama nao wanaongopa mayb wanalao jambo ishia usidandie schoolbus we muuza ugoro

  ReplyDelete

Top Post Ad