AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.
Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa....
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Basata.ndio.walezi wao na inaonekana kuwaogopa hao wasanii na ndio maana wamezidisha umalaya
ReplyDeletetukionee huruma kizazi cha kesho jaman
ReplyDeletetukionee huruma kizazi cha kesho jaman
ReplyDeleteMhhhh jamani muokopeni mungu! Iyo sasa imezidi
ReplyDeleteSafi kabisaa 'kwani kuna jipya gani hapo' watoto wakaangalie katuni
ReplyDeletedah kuna movie 1 inaitwa jini tausi pale inapoanza 2 hapafai kuangalia kabisa.. Ukifika ktk ya movie hemed anapgana mate na manz flan..
ReplyDeleteBasata na waigzaj wao wote malimbuken 2
ReplyDeleteBasata na waigzaj wote malimbuken 2
ReplyDeletewaingizaji acheni utoto nyinyi hamna aibu
ReplyDeleteDis iz 2mach,au baxata 2weke watoto ili watetee aki zao,maana ao wa2 wazma nao wanatetea u2uzma wao,xo,inawapa frah 2 kwao.fack!"!
ReplyDeleteBasata na hao waigizaji wote malaya tu. Na ndio maana ili filamu yako ipaishwe juu zaidi lazima utoe rushwa ya ngono. Msishangae kuwaona wakifilana mbele ya jamii kwenye hizo movie zao.
ReplyDelete