LULU: MIMI NIMPE PENZI DIAMOND..!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori:  Mayasa Mariwata
STAA kiwango katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha uvumi uliozagaa mitaani kuhusu kutoka kimapenzi na mbabe wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Imekuwepo minong’ono ya muda mrefu kitaani kuwa, Diamond analilia penzi la Lulu lakini Diamond au Sukari ya Warembo alipoulizwa kuhusu hilo, alisema siyo kwamba analilia tu bali waliwahi kutoka (haijulikani kwenda wapi) naye, madai yaliyotupiliwa mbali na Lulu.

MADAI YA AWALI
Habari zilizotua katika meza ya Risasi Mchanganyiko zinasema kwamba, wawili hao wanafanya kazi za kisanii pamoja (haikuwekwa wazi ni kazi gani kati ya filamu au muziki) lakini tatizo lililopo kati yao ni Diamond kumtaka Lulu.
Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, kilifunguka: “Diamond anashindwa kuelewa, tatizo yeye kila mwanamke anataka kutoka naye. Mwenzake anajua yupo kazini, yeye anataka penzi, ndiyo mzozo uliopo kati yao.”

KAZI KWA DIAMOND
Paparazi wetu alimvutia waya Diamond ili kutaka kupata ufafanuzi kwa upande wake, ambapo aliposomewa maelezo yote alicheka sana kisha akasema: “Nililie penzi la Lulu? Acheni hizo... ngoja nikuambie kitu, siyo kulilia, mimi nimeshawahi kutoka naye. Nilitembea naye kishkaji tu kisha kila mmoja akaendelea na yake.

“Hayo mambo yalishapita na sikutaka kuyaongelea lakini kwa sababu naona kama yanakuzwa, ndiyo maana nimeamua kuweka wazi. Kwa sasa tunaheshimiana kama kaka na dada. Kuna ugumu gani mimi kuwa naye wakati nimeshampitia?”
Risasi: Unasema kweli Diamond?
Diamond: Wa asilimia mia moja.

Risasi: Una ushahidi gani?
Diamond: Watu wanaojua hii ishu ni wawili tu; Wema (Sepetu) na Penny (Penniel Mungilwa). Niliwaeleza kwa uwazi kabisa hawa ili tusielewane vibaya. Kama huamini waulize. Hawa ndiyo niliowapa siri hii.
Paparazi wetu alijaribu kuwatafuta Penny na Wema kupitia simu zao za mkononi lakini hawakupokea.

TURUDI KWA LULU SASA
Akizungumza kwa sauti ya kujiamini, Lulu alimshangaa Diamond na kusema kwamba, si kutoka naye tu bali hana hata kazi anayofanya naye pamoja.

“Nawashangaa sana eti mimi nifanye kazi na Diamond, kazi gani sasa wakati mimi na yeye tupo kwenye fani tofauti? Muziki na  filamu wapi na wapi? Kifupi hayo madai hayana ukweli wowote na kila mtu yupo na yake,” alisema Lulu na kuongeza:

“Kwanza mimi siwezi kutoka na Diamond... levo zetu ni tofauti kabisa, wala hazilingani. Mimi nilianza kutoka kabla yake, nimeanza kujulikana toka kitambo hicho nina miaka mitano sijui hata kujifuta kamasi vizuri.... hakuna ukweli wowote.”

TUJIKUMBUSHE
Diamond amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na mastaa mbalimbali, huku madai hayo yeye mwenyewe akiyakubali, jambo lililosababisha aitwe Sukari ya Warembo.

Mbali na orodha ndefu aliyotoka nayo Diamond, kinachovuta hisia za wengi ni uhusiano wake wa sasa, ambapo haijulikana kama yupo na Penny, Wema au wote kwa wakati mmoja!
GPL

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lulu kaul iyo itakuponza na Oprah ilikuwa ivoivo aya@

    ReplyDelete
  2. Malaya tu hao wakileta shobo pita nao km vp hata mamazao we kulaa tu!! mtoto wa malaya malaya tu!

    ReplyDelete
  3. kumamaye zenu andikeni habari za maana na siyo kufatilia watu

    ReplyDelete
  4. Lulu acha usenge na unafki paka shume wee.....asiyejua kuwa we umegongwa na domo albda katoka leo sigimbi....acha kujishauwa we ni wa kawaida sana matako wee huna jeur ya kumkataa domo....nyokoooo huna haya mtoto mdogo k km besen

    ReplyDelete
  5. kwikwikwi kibela naona umeamua kumpa za uso Lulu...mhh ila Lulu bana punguza kuitembeza mwishowe tuanze kuhis unagawa virusi!kha too muchh

    ReplyDelete
  6. Lulu wewe kuma tu lakini na Domo ni msenge namba moja unaongea shit kwenye media na ustaa wako?!eti awaulize penny na wema walikushikia miguu?! acha kujipaisha we fala fulani tu unaonekana mjanja kwa madem wasiyojitambua kama hao...hivi we domo unalaana ya nani hujitambui mpaka leo?!

    ReplyDelete
  7. Aisee kweli Diamond analaana si bure hivi ni maneno gani hayo tena akawaulize mahawara wake duh diamond huwezi kuelimika kuma nyoko

    ReplyDelete
  8. Aisee kweli Diamond analaana si bure hivi ni maneno gani hayo tena akawaulize mahawara wake duh diamond huwezi kuelimika kuma nyoko

    ReplyDelete
  9. luku...mxnge kuma mkundu na gpl waxnge 2 habar gan izo au mnataka kufirwa na domo na nyie

    ReplyDelete
  10. luluvuzi kama umegawa mbunye kwa domo umekwisha atakutangazia mpka uone haya mjini chamsingi lulu kuma yko sasa ipumzishe maana naona imelegea kama yang' ombe diamondo nimshamba wamapenzi ukimvulia chuoi anatangaza yaani fala ni falasi tuu lulu pumzisha k" m@ bora ugawe mk"nd" ili ununuliwe ndege saaa

    ReplyDelete
  11. MUONJA….HUONJWAA…LOL26 December 2013 at 03:35

    Kulala na mwanaume kama DOMO ni laana …….kwanza ana mb*** ndefu kama mjusi kafiri…anaKITAAA TUUUU hana machejoo …NI KUFANYA HARAKA HARAKA KAMA MBIO ZA VIJITI……MSONYOOO….I WASTED MY TIME , ILIFIKIRI NITAFAIDIIIII….OVYOOOO!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inaelekea diamond allishakupitia ulijuaje anamboo ndefu kama mjusi? We naye Malaya tuuu! @ muonja huonjwa

      Delete
    2. MKATA VIUNO ORIGINALI27 December 2013 at 12:58

      'Inaelekea diamond allishakupitia ulijuaje anamboo ndefu kama mjusi? We naye Malaya tuuu! @ muonja huonjwa '

      UMESOMA HIKI KIPENGELE ' I WASTED MY TIME ,NILIFIKIRI NITAFAIDIIIII….OVYOOOO!!! '

      Delete
  12. Huyo daimond kama anapepo langono vile! Mtoto wakiislam anajitangazia zinaa anaona sifa eeeeh? Mwenyezi Mungu akuongoze

    ReplyDelete
  13. Domo wape uboo tu si wanajipendekeza, tena wape uboo wa ukweli siyo wa fasta mpaka wajue kwa nn unaitwa Domo kudadeki!!!

    ReplyDelete
  14. kwikwi kwi watu muna maneno jamani mtafikiri mnavitabu vya maneno..!kha kwa domo yoyote mwenye akili timamu na sawa hawezi mvulia chupi mwanamme malaya kama domo.Nimesema yoyote mwenye akili timamu nikimaanisha ambaye hayupo kwa ajili ya pesa bali mapenzi.Ni mchafu wa tabia hafai kwanza kwa umalaya wake nadhani ana kaugonjwa anakasambaza..aku babu kufa mwenyewe na wanaotaka vijisent vyako.Hovyooo diamondi ama kweli una laana wewe nenda kafanyiwe dua pepo la uzinzi likutoke.Namuhurumia sana mama ako kwa aibu unazomletea.

    ReplyDelete
  15. Aya mzee wa kutifua wapange tuu faida yake utaipata tu

    ReplyDelete
  16. Lulu ni malaya wa kudumu jmn. Yani kitoto ila mmmmh! We n wa kufangiwa maombi tena ya kufunga kabisaaa! Cjui kwa nn ucngefungwa maisha labda malaya wangepungua mjini. Vp ile biashara yako ya kucheza pcha za ngono china iliishia wap???

    ReplyDelete
  17. Ngono si kitu cha kujisifia hata kama kweli umefanya, jamani kumbukeni kuna Mungu au we Diamond unafikiri umeumbwa tu kwa bahati mbaya na wala hakuna lengo lolote la kuumbwa kwako..Ndugu kifo kipo wakati wowote na hujui muda gani utakufa..Nakushauri acha upumbavu wako na umrudie Mungu wako...BY OCHU THE DON

    ReplyDelete
  18. huyu kiumbe amesahau kama kuna mungu, kuna kufa.. mungu amuongoze inshaallah.. na diamond kujisifia kua ushampitia si sifa. bali unajidhalilisha.. mtoto wa kike huyu hana hadhi yakumpa mtu sifa. zaid unajishusha kiwango tu. anachafua roho.

    ReplyDelete
  19. mmh, jaman achen kumshushia hadh lulu, yan DOMO hana hata haadh ya kutoka na lulu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Domo Ana hadhi ya kutoka na penny,sio lulu Wala wema.penny ndie size Yale

      Delete
    2. teh teh teh...wamuache lulu apumzike heee

      Delete
  20. Haka katoto kanapenda kutumia camera 360,ukikaona laivu tofauti na picha tunazoziona mitandaoni,unatuchanganya bwana,ebu tumia camera za kawaida.

    ReplyDelete

Top Post Ad