KASEJA AZUNGUMZIA KISA CHA KUTOMPA MKONO IVO MAPUNDA, SOMA ZAIDI HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

GOLIKIPA wa timu ya Yanga, Juma Kaseja amefunguka kuhusu uamuzi wa kutompa mkono golikipa wa timu ya Simba Ivo Mapunda, kwenye mechi ya hisani ya Nani Mtani Jembe.
Ivo amedai kuwa hana bifu lolote na goli kipa huyo ingawa ni kweli hakumpa mkono, na kwamba yale yalikuwa ni maamuzi tu.

"Unajua kaka watu wanaongea sana lakini mimi sina bifu lolote na Ivo,hivyo ni vitu vya kawaida tu na maamuzi ya mtu." Kaseja
Simba iliibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Yanga, matokeo yaliyopelekea Yanga kumtimua kocha Mholanzi Ernie Brandts.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. He's handsome this guy OMG

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha umalaya ww

      Delete
    2. Kwani kumsifiya mtu ni umalaya? Ama kweli watu wengine hamjuwi mnacokiongea sometimes

      Delete
    3. Ao una bifu naye!

      Delete
  2. Ulikoma nani anataka mkonoa wa gundu

    ReplyDelete
  3. Umehongwa Na simba yako Ili Yanga ifungwe.

    ReplyDelete
  4. Umeikimbia simba kumbe unaenda kujidhalilisha, mkundu wako kaseja

    ReplyDelete
  5. Fala tu huna lolote mganga wako kafa sasa unaumbuka

    ReplyDelete
  6. Kaseja simba damu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii Ni kweli na card ya simba anayo

      Delete
  7. Kaseja mbinafsi nashangaa kwann yanga wamemchukua

    ReplyDelete
  8. YAnga kumchukua kaseja ni kosa la mwaka 2013!

    ReplyDelete
  9. YANGA MMEPOTEA KUMCHUKUA KASEJA ASHAFULIA HUYO!

    ReplyDelete

Top Post Ad