MKE WA MTU AFUMANIWA UGONI NA MUME WA MSANII WA BONGO MOVIE " THEA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWAKA ulianza vibaya kwa mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana mara moja kumkimbia mumewe na kumfuata mume wa msanii wa filamu, Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ aitwaye Michael Sangu ‘Mike’ jambo lililosababisha ale kichapo cha nguvu na kuuanza mwaka mpya vibaya.

Tukio hilo lililovuta hisia za wengi, lilitokea siku ya mkesha wa mwaka mpya, usiku wa kuamkia Jumatano, katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar ambapo Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ ilikuwa ikikonga nyoyo za mashabiki wake.
KAMERA ZA IJUMAA
Paparazi wetu aliyekuwa ukumbini humo alimuona Mike akiwa upande mwingine na washikaji zake huku wakiendelea kula raha wakati wa shangwe za mwaka mpya wakati mdada huyo ‘kibonge’ akiwa na mumewe na watu wengine wakifanya yao.

Ijumaa lilipata shaka kidogo, baada ya kumuona dada huyo akimwacha mumewe kila wimbo unapokolea na kwenda alipokuwa Mike kisha kucheza naye.
Harufu ya ugomvi ilianza kunukia mapema, baada ya paparazi wetu kumshuhudia mume wa dada huyo akionekana kumkaripia japo kwa sauti ndogo mkewe kila aporudi akitokea kucheza na Mike.
ONYO HALIKUZAA MATUNDA
Pamoja na onyo alilokuwa akitoa mume huyo kwa mkewe mara kwa mara, bado dada huyo alionekana kumfuata Mike na kucheza naye tena kwa ukaribu kama vile wanajuana.
Baadaye jamaa huyo aliamua kuwashirikisha marafiki aliokuwa amekaa nao meza moja kuhusu tabia ya mkewe, wakamsihi asiende tena kucheza lakini bado hakusikia.

“Sisi tulimwambia, mwenzako hataki uende kucheza na yule msanii, anahisi labda kuna kitu kinaendelea lakini hakusikia, sijui ni pombe zilimzidi au vipi,” alisema mmoja wa watu waliokuwa wameketi meza moja na wanandoa hao muda mfupi baada ya tukio la kichapo kutokea.
Akaongeza: “Kuna wakati alikuwa akijifanya ameelewa, lakini sasa alikuwa akiaga na kujifanya anakwenda msalani halafu mumewe akifuatilia anagundua kumbe amemfuata Mike ili wacheze, jamaa akachukia sana.”
KICHAPO
Baada ya mume kuona dharau za waziwazi zikifanywa na mkewe mbele ya watu aliokuwa amekaa nao, aliamua kusimama na kumfuata alipokuwa akicheza na Mike.
Hakuwa na haja ya kuuliza chochote, alimkamata mkewe na kuanza kumshushia kichapo cha nguvu huku wengi wakiendelea kuponda raha kama vile hakuna kilichotokea.

“Ni mke wake? Hizo ni dharau, acha apigwe. Hawa wanawake wa Dar ni wajinga sana. Utamwachaje mumeo uende kushobokea wasanii? Huu ni upuuzi. Ni haki ale kichapo,” alisikika akisema jamaa mmoja aliyekuwa jirani na paparazi wetu.
DAMU CHAPACHAPA
Hasira zilipompanda yule jamaa, hakuchagua mahali pa kupiga, alimvuta nywele na kumpiga makonde kila sehemu ya mwili wake hali iliyosababisha damu imwagike chapachapa (angalia picha ukurasa wa mbele).
Mashuhuda walipoona damu imemwagika ndipo wakaingiwa na huruma na kuamulia ugomvi huo.

UTETEZI WA MKE
Katika kujitetea, mwanamke yule alimlaumu mumewe kwa kumpiga hadi kufikia kutoa damu kwa kosa la kucheza na Mike akisema kwamba, haoni kosa lake.
“Mume wangu unanionea tu bure, huyu sina uhusiano naye wowote ule... nacheza naye tu kama marafiki. Simfahamu na wala sijawahi kumuona zaidi ya kwenye filamu,” alisema mwanamke huyo.

MIKE HUYU HAPA
Kwa upande wa Mike, alipoulizwa na mwandishi wetu kuhusu kisanga hicho alisema, anamshangaa jamaa mwenye mke kwa sababu amemuonea mkewe bila sababu ya msingi.

 
“Kuna kosa gani watu kucheza muziki? Hapa ni ukumbi wa muziki, tena usiku. Hakuna mipaka, yeyote anaweza kucheza na yeyote. Ule mimi naweza kusema ni ulimbukeni wa kutojua mambo.
“Amemuonea... yule dada alikuwa anafurahi tu sherehe za mwaka mpya ambapo staili yake ya kucheza labda imemkera mumewe lakini kama alikuwa hataki mkewe acheze na mtu mwingine, si wangekaa tu chumbani kwao wawashe redio wacheze wawili tu kuliko kuja kuleta kero kwenye kumbi za burudani?” alisema Mike.
Alipoulizwa hajisikii vibaya kucheza na mke wa mtu alijibu kwa kifupi sana: “Kwanza ningejuaje?”

MADAI MENGINE
Ndoa ya Mike na Thea kwa sasa ipo kwenye mgogoro mzito ambapo wawili hao wametengana huku sababu kubwa ikitajwa na vyanzo vyetu kuwa ni Thea kumtuhumu mumewe kuwa hajatulia.
Bado tunafuatilia sakata hili, likikamilika tutawaletea.

-GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni mashamb mkubwa huyo mume tena mseng anamzalilsha mkewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. hao wachaga ndio wale wale sasa hapo angekua na libunduki ndio angemshuti kabisaa huyo mke wake

      Delete
    2. acha kukariri wewe, wapi mwandishi kasema wachaga.afu acha chuki za kikabila bwana mdogo

      Delete
    3. kweli mwanaume mjinga sana, unampiga mkeo afu kesho yake akupe unyumba.hata ikipita miaka 10 hata sahau na hatokupenda kamwe.tunawaonea wanawake kwa kuwa hawana nguvu, angekuwa mwanaume mwenzako wala usingeongea.Tukatae ukatili dhidi ya wanawake na watoto

      Delete
  2. Msenge wapi mume safi kabisa we ushaonywa ushamba tu wa huyo mwanamke tena umemuweza kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. ulifikiri mziki ni kukaa na kuangaliana usoni au kucheza na kufurahi kama hukutaka mkeo afurahi mfungie chumbani ulimletea nini kwenye mziki?

      Delete
  3. MWANAUME MJINGA KWELI, KWANI PALE ALIONA WAMELALA WANAFANYA MAMBO! KUCHEZA TU, WENYEWE WANAUME HAWAJATULIA KAZI KULAUMU WANAWAKE, ANGEWASHA REDUI HOME WACHEZE WENYEWE, YAWEZEKANA HUYU MKE WAKE NI MAMA WA NYUMBANI, MAKE ANGEKUWA ANAENDA OFISINI ASINGEMPIGA MAKE OFISINI TUNA FURAHI NA KILA MTU PASIPO MAHUSIANO YOYOTE. MTU ANAKUTOA LUNCH VILE VILE HATA HUKITOKA NA BABA WATOTO MNA SHOW LOVE NA KAMPANI MLIYONAYO PASIPO VIPIGO. AHA! MAJANGA KWA WAMAUME NA WANAWAKE WALIOWALEWA.

    ReplyDelete
  4. wewe Hosiana Mushi hapo juu mjinga mama yako ndio nyie wachaga mapenzi mnayafanya kama uwanja wa vita, utapigaje mwanamke mpaka umtoe damu? na nyie marafikir wasenge watupu mmekaa mnaangalia mwanamke anadhalilishwa kiasi hiki, hivi mlishindwa nini kumwambia ondokeni nendeni nyumbani shemeji ameshalewa? kumanina zenu acheni mfumo dume wa kijinga hebu lione hilo fala hapo limeshikilia chupa ya bia eti isimwagike wakati msenge mwenzako anapigana na mwanamke

    ReplyDelete
  5. Mikundu tena mikundu pipe square mnaomtetea huyo demu kuma wasengenge mnaofirwa kabisa! hao malaya ndio dawa yao ushaonywa sitaki ucheze na yule mtu unabisha unataka nn km co kuchapo...! km angekatazwa asicheze na mtu yeyote humo ndani tungesema jamaa bwege. ila kamwambia yule msaniii usicheze nae sitaki yeye ndio mume yapaswa asikilizwe, unatoroka unaenda cheza nae tena. tena na hyo mike ningekuwa mie nae kichapo kuma la mama yake.
    wanawake wa kibongo wana tabia yakubababaikia visanii uchwala kuma la mama zao na hyo ndio dawa yake

    ReplyDelete
  6. Mimi kama mwanamke sisapoti kumpiga, ila huyo mwanamke amekosea tena sanaa, huwezi ukatoka na mumeo halafu ukawa busy na mwanaume mwingine, hapana isee umekosea shoga, na kwanini ujifiche udanganye unaenda toilet kumbe unaenda kucheza na mwanaume mwingine, coz ulijua ulichokuwa unakitaka kwa huyo mike, kama mumeo hachezi kwanini usingecheza na marafiki wa mumeo? noooooooo that was wrong, period

    ReplyDelete
  7. Wewe 11:35 unayetukana wanawake wewe umetoka kwenye kisoda?acha upuuzi wewe,hayo matusi yanakusaidia nini,mdomo wako mchafu sana!

    ReplyDelete
  8. naungana xana na wewe 2:02 uko xawa uyo anaetukana wanawake uyo ni taira kamtukana mama ake kama hujatulia unafikiri demu wako atatulia kweli....jifunze kwongea kwa nidhamu kijana....aya maisha tu kijana

    ReplyDelete
  9. Jamani matusi siyo tija tuache tabia ya kupiga wanawake Mimi nahisi we we jamaa uliyepromosha hiyo mitusi uliokotwa inaweza ikawa dampo

    ReplyDelete
  10. acha ushamba wewe kanjanja habari ya ndani na kichwa cha habari haviendani, mjinga kabisa wewe.

    ReplyDelete
  11. Watu wengine mnachangia ujinga tu hvi mkeo unamkanya zaid ya mara tatu kitu kimoja hatak kuelewa unategemea umfanye nin, reason out wew unayeponda kuchapwa kwa mwanamke huyo ni mwanaume wa kwanza kuwahi kumsikia ambaye anapenda kudharauliwa

    ReplyDelete
  12. Hawo wote waliomtetea huyo mwanamke wajinga wakubwa kumtoa mkeo kwenda nae sehemu ni sawa lakini aliyempeleka pale ni mume wake na alitaka kufuarahia maisha akiwa na mkewe ubavuni ila kwa ujinga na ushamba wa mwanamke analeta shobo chapa hata kwa mungu iyo ipo kumtia adabu mkeo kama amekukosea

    ReplyDelete

Top Post Ad