HASHEEEM THABEET HALI NI TETE NBA MAREKANI HATARI KUACHIA NGAZI.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtanzania Hasheem Thabeet amejikuta akikumbwa na hofu ya kupoteza namba yake baada ya mchezaji Steve Adams anayechipukia raia wa New Zealand ambaye amesajiliwa mwaka jana na club ya Oklahoma city thunder alisainiwa na timu hiyo july 2013 mpaka sasa ameonyesha uwezo mzuri hvyo kutishia namba ya Hasheem, tangu asajiliwe amefanikiwa  kufunga point 17 rebounds 10, assist 3 na blocks 3 ambapo ana wastani wa point 3.8 na rebound 4.6... 
Kutokana na umahiri huo kumekuwa na vita ya namba baina ya wachezaji hao
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukishajua nin maana ya udaku special...

    Huwezi kuumiza kichwa

    ReplyDelete
  2. Haaaahaaaa umetisha mdau ukisha juwa maana ya udaku special.....

    ReplyDelete
  3. Kama badala ya kufanya zoezi la ziada wakati wa mapumziko ya ligi "NBA" na badala yake unaenda kutanua "Bongo" je, unategemea nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Exactly, wakati wa mapumziko ndio hasa unaangalia zile weak points na kuzifanyia kazi, na sio kwenda vacation. Halafu vacation yenyewe Bongo, nyama choma, bia na kutafuta umaarufu usiokuwa na maana kwa mademu fake wa Bongo movie. Duh! Kaula huyo.......

      Delete
  4. Wote mnaemuombea ashuke chini, mtashuka wenyewe. Wabongo noumer sana. We udaku naona sasa umekosa vya kuandika.

    ReplyDelete
  5. Na watu wa udaku siku zote ni vigumu kutangaza mafanikio ya mtu bali husubiri akijikwaa mahali ndo waanze na breaking news zao..hiyo roho mbaya..

    ReplyDelete
  6. Ukweli uanjani.the boy is weak. msimtetetee kama mashabiki .number zake zimeshuka sana na mzima kushuka. Ajitahidi kugombania number yake la sivyo box linamsubiri.

    ReplyDelete
  7. Kama hufahamu huu mchezo wa basketball si lazima kuchangia, na hii is not a politics, this boy's game is below satisfaction. Chances za kumweks bench ni kubwa this time around hasa ukizingatia Oklahoma wana the best record in the league so far. Hawatataka kuivuruga.

    ReplyDelete

Top Post Ad