AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kocha huyo wa zamani wa Toto African ya Mwanza alisema kuwa mbali na ukocha yeye pia ni mzazi hivyo lazima afuatilie maendeleo ya mwanae.; “Naona mwanangu hana bahati na Yanga, licha ya kucheza michezo minne na kufunga mabao matano. Naamini bado anaweza kucheza na kupachika mabao, lakini kama hana nafasi basi nampa hadi mwisho wa msimu aweze kuamua kati ya kusoma au kucheza soka nje ya Yanga,” alisema.
Kama ni kurudi shule basi Jerry ni kati ya wachezaji watakaokuwa na elimu zaidi kwenye soka la Tanzania kwani tayari ni mhitimu wa kidato cha nne. Lakini amefunikwa kielimu na Reliants Lusajo mwenye Digrii ya ugavi, Salum Telela anayesoma Digrii ya Biashara na Issa Ngao naye anayesomea biashara.
SOURCE: MWANASPOTI
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Bora ukasome tuu kaka maana yanga wanakupotezea mda wakoo
ReplyDeleteKweli hana bahati, bora ukasome best! Maana kukaa benchi muda mrefu watakupoteza kwenye tasnia ya michezo!
ReplyDeleteKauze unga
ReplyDeletekauze unga ww na baba ako, msenge maharage,kama huna comment tafuta kipori unye
DeleteAnafikiri yanga ni ulaya pumbav
ReplyDeletePUMBAVU MWENYEWE
DeleteAkauzu karangaaaaaaa t2
ReplyDeleteTatizo hajitambui kalewa sifa ambazo hata hivyo hana badala ya kufanya mazoezi ya nguvu kujituma na kujifunza zaidi anakalia kushinfa kwenye kumbi za starehe na kubeba mijimama kusoma hawezi baba mqambie mwanao apiganie number piga tizi zaidi discipline na kuonekana anajifunza na kuja na vitu tofauti
ReplyDeleteuna uhakika na unchosema au ndo unaropoka tu? mbona comment yako imekaa ki hater hater? pole...Jerrison, kama kurudi shule is an option then go for it. education is permanent investment...kipaji cha soka unacho dogo but kwa hii style ya benchi naona is time for plan B....nakukubali kisoka sana na sijui kwa nini kuna tendency ya makocha kuwaweka benchi wachezaji wazuri hii hadi ulaya imo. naikubali sana Yanga, i rocky jessie No.10..HOPE YOU KNOW WHAT I MEAN..HAHAHAHAHAHA. SITOSAHAU WALIVOMSUGULISHA BENCHI MY FAVORITE kule majuu Michael Owen...BROTHER DO SOMETHING I DONT WANT YOU TO END LIKE HIM...BEST WISHES.
Deletewe unadhani wote wauaji wa watoto wa watu kwa kuuza maunga yenu? hii ajira yenu akina mwafundenge wenyeji wa mikoa ya pwani ndo mnaiweza... ole wenu...siku yenu inakuja.
ReplyDelete