JERRY TEGETE"YANGA HAUNA CHAKO RUDI SHULE AMA UHAME TEAM"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BABA mzazi wa straika wa Yanga Jerry Tegete, John Tegete amemtaka mwanae achague mawili ifikapo mwisho wa msimu huu iwapo ataendelea kusugua benchi kwenye kikosi hicho.
Kocha huyo wa zamani wa Toto African ya Mwanza alisema kuwa mbali na ukocha yeye pia ni mzazi hivyo lazima afuatilie maendeleo ya mwanae.; “Naona mwanangu hana bahati na Yanga, licha ya kucheza michezo minne na kufunga mabao matano. Naamini bado anaweza kucheza na kupachika mabao, lakini kama hana nafasi basi nampa hadi mwisho wa msimu aweze kuamua kati ya kusoma au kucheza soka nje ya Yanga,” alisema.
Kama ni kurudi shule basi Jerry ni kati ya wachezaji watakaokuwa na elimu zaidi kwenye soka la Tanzania kwani tayari ni mhitimu wa kidato cha nne. Lakini amefunikwa kielimu na  Reliants Lusajo mwenye Digrii ya ugavi, Salum Telela anayesoma Digrii ya Biashara na Issa Ngao naye anayesomea biashara.
SOURCE: MWANASPOTI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bora ukasome tuu kaka maana yanga wanakupotezea mda wakoo

    ReplyDelete
  2. Kweli hana bahati, bora ukasome best! Maana kukaa benchi muda mrefu watakupoteza kwenye tasnia ya michezo!

    ReplyDelete
  3. Replies
    1. kauze unga ww na baba ako, msenge maharage,kama huna comment tafuta kipori unye

      Delete
  4. Anafikiri yanga ni ulaya pumbav

    ReplyDelete
  5. Akauzu karangaaaaaaa t2

    ReplyDelete
  6. Tatizo hajitambui kalewa sifa ambazo hata hivyo hana badala ya kufanya mazoezi ya nguvu kujituma na kujifunza zaidi anakalia kushinfa kwenye kumbi za starehe na kubeba mijimama kusoma hawezi baba mqambie mwanao apiganie number piga tizi zaidi discipline na kuonekana anajifunza na kuja na vitu tofauti

    ReplyDelete
    Replies
    1. una uhakika na unchosema au ndo unaropoka tu? mbona comment yako imekaa ki hater hater? pole...Jerrison, kama kurudi shule is an option then go for it. education is permanent investment...kipaji cha soka unacho dogo but kwa hii style ya benchi naona is time for plan B....nakukubali kisoka sana na sijui kwa nini kuna tendency ya makocha kuwaweka benchi wachezaji wazuri hii hadi ulaya imo. naikubali sana Yanga, i rocky jessie No.10..HOPE YOU KNOW WHAT I MEAN..HAHAHAHAHAHA. SITOSAHAU WALIVOMSUGULISHA BENCHI MY FAVORITE kule majuu Michael Owen...BROTHER DO SOMETHING I DONT WANT YOU TO END LIKE HIM...BEST WISHES.

      Delete
  7. we unadhani wote wauaji wa watoto wa watu kwa kuuza maunga yenu? hii ajira yenu akina mwafundenge wenyeji wa mikoa ya pwani ndo mnaiweza... ole wenu...siku yenu inakuja.

    ReplyDelete

Top Post Ad