AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
AMINI usiamini lakini ndivyo ilivyo! Utajiri wa Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ umeibua gumzo midomoni mwa watu wakidai kuna walakini juu ya upatikanaji wake.
AMINI usiamini lakini ndivyo ilivyo! Utajiri wa Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ umeibua gumzo midomoni mwa watu wakidai kuna walakini juu ya upatikanaji wake.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Dida ana utajiri mnono lakini anafanya siri ili watu wasiulize alikoupatia kwa sababu si kwa njia halali.
NYUMBA MBILI, MOJA YA GHOROFA
Chanzo kiliendelea kudai kwamba mtangazaji huyo wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, ana nyumba mbili. Moja ipo Kigamboni na nyingine ipo Goba ambayo ni ya ghorofa moja, zote jijini Dar.
“Ile ghorofa ya Goba ni kiboko. Ina uwanja mkubwa ndani kama wa mpira, kuna maegesho ya magari hata kumi. Kuanzia getini hadi mlango mkubwa kumesakafiwa,” kilisema chanzo.

MAGARI MATANO YA KUTEMBELEA
Chanzo chetu kikazidi kwenda mbele kwa kudai kuwa mbali na umiliki wa nyumba, pia mwanadada huyo ana magari matano kwa ajili ya kutembelea tu.
“Mbali na nyumba hizo, Dida pia ana magari matano ambayo hubadili anavyotaka kwa ajili ya kutembelea tu kwenye mizunguko yake.

“Ana Toyota Verossa mbili, ana Toyota Noah rangi ya silva na nyeusi. Ana Toyota Vitz. Hivi karibuni ameanza mchakato wa kuingiza nchini gari lingine la sita aina ya Range Rover ‘Vogue’. Hebu fikirieni, Dida huyuhuyu mnayemjua, amepata wapi mali hizo?” kilihoji chanzo.
YADAIWA ANAUZA ‘UNGA’
Chanzo kilisonga mbele zaidi kwa kusema kuwa, habari za mitaani ni kwamba mtangazaji huyo anatuhumiwa kuuza madawa ya kulevya ndiyo maana ametajirika ghafla.
“Watu wamekuwa wakimsema kwamba fedha zake zinatokana na biashara ya kuuza unga. Si unajua wauza unga wana pesa sana?” kilisema chanzo hicho.

MADUKA MATATU YA NGUO
Katika tafutafuta, mapaparazi wetu waliwahi kuyanasa maduka matatu ya nguo za kike ambayo yapo Kinondoni, mmiliki wake akiwa ni Dida.
Katika mabango ya matangazo, maduka hayo yanasomeka; Dida Classic.
Katika tafutafuta, mapaparazi wetu waliwahi kuyanasa maduka matatu ya nguo za kike ambayo yapo Kinondoni, mmiliki wake akiwa ni Dida.
Katika mabango ya matangazo, maduka hayo yanasomeka; Dida Classic.
AMETOKA MBALI
Kabla ya kudaiwa kuwa na utajiri huo, wakati fulani Dida aliwahi kukumbana na misukosuko ya madeni ambapo benki moja maarufu jijini Dar es Salaam ilifilisi samani za sebuleni, nyumbani kwake Kinondoni, Dar baada ya kushindwa kulipa mkopo.

DIDA ASAKWA
Baada ya kuzinyaka habari hizo, mapaparazi wetu walimtafuta Dida ili kueleza ukweli ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Mimi sipendi kuanika vitu nilivyonavyo au ninavyomiliki ila ni kweli nina nyumba mbili, moja Kigamboni na nyingine Goba ya gorofa.

KUHUSU MAGARI
“Magari ninayo matatu na si matano, hilo Vogue mchakato unaendelea, ukikamilika nitaliingiza nchini.
“Magari ninayo matatu na si matano, hilo Vogue mchakato unaendelea, ukikamilika nitaliingiza nchini.
MIRADI YA DUKA
“Kuhusu miradi yangu mingine siwezi kuianika hadharani kwa sababu, kwanza sipendi kabisa mambo hayo,” alisema Dida.
“Kuhusu miradi yangu mingine siwezi kuianika hadharani kwa sababu, kwanza sipendi kabisa mambo hayo,” alisema Dida.
NI KWELI ANAUZA UNGA?
“Watu wamekuwa wakiongea sana kwamba nauza unga kitu ambacho si kweli, kwanza sijui hata huo unga unafananaje! Ila mimi ninajituma sana kwenye kazi pamoja na kufanya biashara mbalimbali.
“Sitasahau siku ambayo watu walikwenda kutoa taarifa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Dar) kuwa siku hiyo nasafiri na mzigo wa madawa ya kulevya.

“Nilipofika uwanjani nikawekwa chini ya ulinzi na kupekuliwa. Kama haitoshi nilipelekwa Hospitali ya Temeke (Dar) nikafanyiwa X-ray, hawakuona kitu ndipo nikarudishwa uwanja wa ndege kuendelea na safari
“Mimi nawaacha tu waongee watachoka kwa sababu hawajui wanachokifanya, ila mimi najitambua na kile ninachokifanya,” alisema Dida.
Akaendelea: “Nilichokuja kubaini ni kwamba kuna wabaya wangu ndiyo walipeleka taarifa za uongo pale uwanjani. Wote huo wivu tu hakuna lingine.
“Kuanzia hapo nikaamua kufanya mambo yangu kimya-kimya, hakuna sababu ya kutangaza kwani wabaya ni wengi, wazuri wachache na si kila anayeku-chekea ni mzuri kwako.”
Source:GPL
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Muacheni mama ezdeny ajilie vyake.
ReplyDeleteKusema kweli huyu dada wanamuonea tu, mwenyewe muhangaikaji nabiashara zake halali ! Mungu akulinde Dida na akunusuru na loh loh za watu inshaallah.
ReplyDeletewe sembe...kwa biashara gani hadi wasafiri yeye na mumewe hadi hongkong!!!?hata kama ni ethiopia airline..maana ndo cheap.lakini price si chini ya m 4.atajiju!!!!!@
DeleteHIYO ADOBE NIAJE BHANA SIO WOTE MBULULA SI TUNA JUA HAYO MBO YA KU EDIT\ PICHA MSIRIDIE KUTUDANGANYA NEXT NAWAUMBUA
ReplyDeleteama nyie msifanye watanzania woote wajinga. Hiyo kwenye range rover hata auze maini wacha sembe hawezi nunua. kapiga tu picha imekuwa gari yake. mabholo gingwe jagi mkanye
ReplyDeleteUongo mtupu!!!!!!! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Fake hakuna cha ukweli hapo!!! Mtaenda kuwa Kuni jehanamu pumbavu
ReplyDeletedida kapanga k,ndoni maskini ya mungu...wanamsingizia na kiduka anadunduliza,,,lakini labda.
Deletehana utajili huo kbs anakaa ktk nyumba ya kupanga km ana jenga sawa duka analo moja tu...matatu wapi na wapi...km hk kila mtu anaenda uda si lipo ethiopian kila mtu anapanda..msitudanganye kwa range bado...magari sina uhakika ila verosa anayo..hana lolote..wa kawaida sana tu...
ReplyDeleteUnahya dida muongo mno na hzo habari anapelekaga mwenyewe anapenda showoff hyo noah ilikuwa ya babu moja mchaga wa kko alikuwa bwana ake alishindwa kuigomboa dida akatoa hela kdogo akagomboa akachukua labda nahyo verosa na nyumba moja ndo kwanza anajenga muongo huyo mpenda kujichubua na wanganga ksmusribu adi ezzeden na mgorogo
ReplyDeletepoint
DeleteJamani everybody anaweza travel bora plans tu. Ethiopian air very cheap ipo ka matatu so muwacheni mwezenu
ReplyDeletewabongo bwana...hayo magari yote ni yakawaida sana..kisa cha kumpaka matope dada wa watu namna hiyooo..hata kama anauza sembe is upto her..who are u to judge her?!...
ReplyDeleteEzden anamchuna tu dida no mapenzi heheee mjin kaziiiiiiii
ReplyDeleteKama anauza...nanyi kauzeni...!
ReplyDeleteMamaaaa huo mkorogo...khaaaa!
ReplyDeleteanauza punye sio sembe.Punye kweli analiuza hata mi najua...
ReplyDeletemuongo huyo nyumba hana, kapanga mwananyamala uswahili, ingekuwa nyumba yake angehamia kwa anavyopenda mashauzi, na huyo mtoto EZDEN maskini hajielewi kabemendwa, jitu lingeshaangaika huko toka enzi ya kina chifupa uje leo ufunge naye ndoa, tatizo lako la kupenda kuhongwa itacost uzeeni.
ReplyDeleteangekuwa mwanaume,ningeshitka,ila kwa mwanamke hata sishtuki
ReplyDeleteanapenda waganga balaa..kila kitu kwa mganga hana lolote..utajiri gani anao..kapanga nyumba..kiduka kimoja pale kino basi..kazi kumlea kale kajamaa na anamchunaje...hana hata mapenzi nae mario tu.
ReplyDeletedaaaaaahhh ......
ReplyDeleteHAYA YETU MACHO, SASA INAKUWAJE KAMA NI UTAJIRI SI WAKE NA WANAOMUHUSU ,? NAONA MALALAMIKO MENGI KAMA SHENZI TAIP YAANI MNAKUWA MNAMJUA MTU KULIKONI.-----.--.,Æ' MAKUBWA NA NYIE NENDENI KWA WAGANGA ILI MUONYESHE VYA KWENU!
ReplyDelete