AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
wewe kijana wewe utafilisika sasa hv, huo mziki wako unaoimba siyo international, hauuzi dunia nzima wewe, tamaa hizi za nini? hammer? tulia kijana fanya ya maana!
ReplyDeleteeti jamani,hammer la nini tena,?huyu atajafilisika vibayaaaaaaaa,tupo hapa.
ReplyDeleteNenda kamuulize mr nice mana mpaka kawa mr bad tulia fanya mambo ya maaana show off za nn
ReplyDeletemaisha mafupi mwacheni ale ujana
ReplyDeletenani amewaambia yamaana bado hajafanya? kama wewe ni wa mia mbili mbili unataka kujenga mbavu za mbwa usilazimishe wa kupata mamilioni nae ajenge mbavu za mbwa. Wewe ni wa vitz, starlet corrola tuliaaaaaaaaaaaaaaaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Hammer ni za kama wao wenye nazo. Watu banaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteaangalie acje angukia pua hao hao alonao karb saiv hawatakua nae karb tna akiangukia pua mr nice yuko wap
ReplyDeletemhhhhhhh kama la chief kiumbe alishindwa kulilipa hummer la 400 million ataliweza. i dnt think so
ReplyDeletewanapost picha insta wakitanga huu mjengo wangu mpya kumbe wanaishi nyumba za kupanga, video ya mil2 utasikia mili200
ReplyDeletewanapost picha insta wakitanga huu mjengo wangu mpya kumbe wanaishi nyumba za kupanga, video ya mil2 utasikia mili200
ReplyDeletengoja atumie pesa bhanaaah,si anazitafuta mwenyew yan zake....
ReplyDeleteDuh.........!!!!!!!
ReplyDeleteni kuna driving school anataka kuianzisha so anakusanya teaching aids
ReplyDelete