AY na Diamond Waahidi Kumsaidia Chid Benz Kurudi Katika Hali ya Kawaida na Kurudisha Music Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


AY amedai kuwa kuwa yeye na Diamond watahakikisha Chidi Benz anasimama vizuri baada ya kuyumba hapo awali.

AY ameiambia Bongo5 kuwa kama ilivyo kawaida yake kumsaidia msanii mmoja kila mwaka, mwaka huu atahakikisha Chidi anakaa pazuri.

“Huwa nina uhakika wa kufanya comeback nzuri tu, sio kwamba ninavyomsupport Chidi tunapata faida yoyote. Kila mwaka huwa ninampick mtu mmoja, so mimi na Diamond tuliamua kuwekeza kwenye audio pamoja na kufanya naye video pamoja kwa gharama zetu sisi. Kama unavyoona promotion yake, mpaka sasa hivi tupo kwenye process ya kufanya video. Bado hatujajua tutafanya wapi video ila tupo kwenye maandalizi ya mavazi, location na mambo mengine,”amesema AY.

Hivi karibuni Chidi Benz alitoa wimbo ‘Mpaka Kuchee’ aliowashirikisha AY na Diamond.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ay ingekua vzr ungemtoa kwnz gk co uyo mla unga umesahau mlvokua na gk na ect kwa ujumla?

    ReplyDelete
  2. mdomdogo imeshaaza kushindanishwa kwenye tuzo za kimataifa hii ni kazi zuri aifanyayo diamondi ila cjajua kama mwana ya aliy kimba kama nayo ipo nominated nitafurai kweli kama nilivyo mfuraia diamondi kwa kuzidi kupinga hatua

    ReplyDelete
  3. Web hii mpya ya kusoma udaku ingia ujionee udaku news

    ReplyDelete
  4. Diamond ni mtu hatari sn anabahati na nyota kali mdogomdogo imeshaanza vzr

    ReplyDelete
  5. chid benz mpumbavu mnajaza maji kwenye gunia mla sembe mwenye mabifu ya kishamba jidume lenye kutoboa pua na kupigana na wanawake mnalipeleka wapi? labda mlipe promo kwenye taarabu

    ReplyDelete

Top Post Ad