AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na Mkasi TV hivi karibuni, Dudu Baya amesema wanawake wengi anaokutana nao wanakuwa ni machizi.
“Kwanza sijabahatika kukutana na mwanake ambae mimi namtaka, nafikiri Mungu bado hajanipa huwaga nakutana na machizi, kwa sababu mimi sipendi, mwanamke aliyelelewa na kufundwa vizuri vitu vya ndani huwezi ukavitoa nje.
Kwa mimi binafsi siongeagi kwa wanaume wengine, napenda sana siri za familia zibaki kuwa siri za familia. Kwa mfano huyu jinsi alivyoenda kwenye media asitarajie nimtamrudia kabisa, ile tabia ya kwenda kwa jirani na kanga moja ikianguka? Kweli kabisa kicheni party zinaendelea lakini hazisaidii kitu chochote,” alisema.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kumanyoko chizi mwenyewe, kumkata mama yako sikio unafikiri sio uchizi huo.laana hiyo kwanza mwanmke gani atapenda kuishi na mme tegemezi ulevi, umalaya, bangi vyote vyako.Danganya watu wa Dar sisi watu wa KISESA mwanza tunakujua A to z
ReplyDeleteVipi rafiki yako H-BABA ameshamaliza nyumba yake BUJORA? ulimtapeli kumtafutia kiwanja kilichouzwa mara mbili. Msaidie mama yako anateseka sana afadhali na mdogo wako amefungua duka la vifaa vya michezo hapa kisesa.chizi mkubwa we.
ReplyDeleteheeee majanga anatafuta kick naye
ReplyDeletewewe mwenyewe chizi fala wewe, mwanamke wa kutulia hawezi kukubali mtu kama wewe,hao unaopata ndio type yako
ReplyDeleteWanawake mko na shida,huyu nae ni mtu wa kuitwa mume kweli?
ReplyDeletevituko tangu akiwa mdogo.
Ushauri wa bure. Mwanamke anayekufaa sana wewe ni Hadija Shaibu a.k.a. DIDA, mamaa ya big brother, mnapendeza sana kuwa mke na mume.
ReplyDeletedida size yako kaka
ReplyDelete