AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kuna Masipastaa ukikutana nao Weekend labda Maisha Club hivi ukiwaomba Upige nao Selfie basi wanahisi kama unawasumbua hivi,wanahisi wao ndo wao yaani,Sura zao wanaziona keki kichizi as if zinatakiwa kulipiwa PAYE,wengine wana michunusi ya haja sema basi tu kwa sababu wana majina tayari kwenye Media wamejisiliba na Foundation angalau sura ziuzike lakini WANARINGA...Ukiomba Selfie mara anakwambia hawezi sijui ntatokea vibaya,mara poda imeisha,mara mi sipigagi picha usiku..Ilimradi tu Raisi mwenyewe anatoa Selfie na Raia wake sembuse wewe ambae Usupastaa wako unaishia Chalinze??Tena Anasmile kabisa...Halafu wewe una nyimbo 2 tu eti SIPIGAGI PICHA NA STRANGERS!!!Strange babako mdogo!
By Seth
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ahaaaa aaaaa! Hao ma Gademu. Safiiii!
ReplyDeletePicha hiyohiyo asubuhi imeletwa kivingine,
ReplyDeletejioni inaletwa kivingine. Ama kweli wewe udaku umeusomea,
acheni ujinga kama mbele vile mbona obama anafanya sana tu
ReplyDeleteNimempenda huyu dada.. yupo so natural!! Ingekua mm ndo prezdaaa...... "njoo tupige na huku, na huku, em twende na kule, em toa hiyo tupige vizuri" mwisho wayaaaaa!!
ReplyDeleteHahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha nicheke mie ninenepe ninune nina eda?
Delete