Mwanaume Aliye Jifanya Mwanamke na Kupewa Kazi ya House Girl Akamatwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanaume mmoja huko nchini Uganda Amekamatwa baada ya Kujifanya ni Mwanamke ili apate kazi ya House Girl, Zoezi lake hilo lilifanikiwa na kuweza kupata hiyo kazi lakini siku zilivyozidi kwenda Boss wake ambae ni Mama Mwenye Nyumba alishtukia mchezo na kugundua ni Mwanaume, Baada ya kugundulika jamaa alichukua kipigo kutoka kwa Majirani , alipoulizwa kwanini ameamua kufanya hivyo alijitetea akasema Maisha ni magumu na kupata kazi kama mwanaume ni ngumu...
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kazi kwa kweli!

    ReplyDelete
  2. wamsamehe na km anafanya kazi vizuri huyo mwajiri wake aendelee kumpa ajira kuliko kuingia mitaani na kuiba

    ReplyDelete
  3. So sad anaonesha kama ana shida msingempiga bora ungempa pesa japo kidogo apete ya kula chakula

    ReplyDelete
  4. kwakweli wamsamehe bure, kuliko angekua ni shoga au anabaka watoto wa mwenye nyumba, maisha ni ngumu wandugu

    ReplyDelete
  5. ameshajitetea maisha ni magumu na kupata kazi kama mwanaume ni ngumu,mwacheni 2, atafanya kazi kwa uaminifu mradi mmeshamtambua.

    ReplyDelete
  6. Sie tuliozoea kunyemelea mahous girl ucku ingekua shiiiiiiida... unanyata unaprleka mkono unakuta huo mguu wa mtoto wa standard one.. unaanza kulia mwenyewe!!!

    ReplyDelete
  7. sasa mnatuonesha picha ya dudu lake ili iweje pumbafu zako mdakuuzi

    ReplyDelete

Top Post Ad