Madhara ya Kujichubua Ngozi na Vipodozi vya Mitaani Vya Bei Rahisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Kujichubua ndio Habari ya Mjini ...Haha Hako kamsemo nakasikia sana mitaani kutoka kwa wasichana na kweli ukiangalia wasichana Wengi hasa mastaa wetu hapa Bongo Wamejichubua Ngozi na kuonekana Weupe..Mie siwakatazi ila nawapa Onyo tu , Ukiamua kujichubua basi tumia Vipodozi Sahihi na ambavyo vimeshajaribiwa , Wengi Wanatumia Mikorogo ya Mitaani ambayo madhara yake ni kama unavyoona kwenye picha hapo juuu, na wengine wamejichubua na kushindwa kuendelea kutumia dawa sahiii ambazo ni ghali hivyo kugeukia migorogo ya mitaani ama kuacha kabisa na ngozi yao kugeuka kuwa kama ya chura ..Hao mastaa waliojichubua wanahela za kumaintain mikorogo ya Ukweli ..Kama hujajichubua ni bora usifanye hivyo..Tafuta vipodozi vitakavyo ng'arisha ngozi yako lakini si kujichubua" Udaku Specially
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ladbda bongo ulaya ukijichubua hupati mwanaume,wanapenda wanapenda ma black.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huko ulaya na marekani wengi tu wamejichubua na wanapata wanaume. Nadhani hauna taarifa za kutosha katika hili. "No research no right to speak" jaribu kufuatilia wasanii wa huko ulaya utajua alivyokuwa mwanzo na sasa, wa mtaani hauwaju hautaweza kufahamu vizuri!

      Delete
    2. kikubwa ni kujitambua na kujikubali, naona na wewe ni walewale wanafanya vitu ili wapate wanaume!

      Delete
  2. mdau hapo juu umelongaaaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad