Mama Yangu Alinifundisha Umalaya, Kwa Siku Nilikuwa Nalala na Wanaume zaidi ya Kumi Ili Tupate Hela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukistaajabu ya Musa basi labda Hujayaona ya Juma, Nimepata e-mail kutoka kwa msichana mmoja akieleza jinsi alivyoingia kwenye Umalaya na Kuanza Kuuza Mwili wake:

Admin  Udaku Specially Mimi ni Msichana mwenye Miaka 20 tu lakini niliyopitia ni zaidi ya mwanamke mwenye miaka Thelathini , Mimi nimelelewa na Mama peke yake hata baba yangu simjui mama aliniambia kuwa baba alimwacha baada ya hali ya maisha kuwa ngumu, Nikiwa na Miaka 15 nikiwa naishi maeneo ya Mwananyamala na Mama, maisha yalikuwa magumu kiasi mama akawa analeta wanaume ndani ya nyumba usiku na hata mchana ili tupate hela ilifikia wakati wale wanaume wakija nyumbani wananitamani na kuumuuliza mama kama mimi ni mtoto wake, Siku moja mama alikuja na jamaa mmoja usiku wa manane wakiwa wamelewa sana , basi kwa vile tulikuwa chumba kimoja yule jamaa alivyoingia ndani akawa anamwambia mama ananitaka , na mama akaanza kunilazimisha kilevi nilale nae kuwa atanipa hela nyingi ,usiku ule nilijikuta nimelala na yule jamaa huku mama akiwa kalewa chakari iliniuma sana , akatuachia sh 25,000 asubuhi , basi mwendo uliendelea hivyo hivyo mpaka muda mwingine mama akawa ananiita twende nae kwenye mabaaa , ambapo tulipata wanaume mbali mbali ili tupate kipato , nami nikazoea kabisa , kwa siku nilikuwa nalala na wanaume zaidi ya kumi, kwasasa nimepanga chumba kimoja naishi kijitonyama nataka kuachana na hiyo kazi kwani siipendi nataka niwe msichana wa kawaida , nimepima ukimwi nimeambiwa sina..ila sasa sina shughuli yoyote ya kuniingizia kipato kwa sasa na elimu sina, Naomba Kama unawajua watu naweza fanya hata shughuli za ndani au kuuza Duka ili mradi niepuke na umalaya.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tena natafuta binti wa kukaa dukan kwangu nadhani utanifaa wewe,sasa ntakupataje?

    ReplyDelete
  2. dah pole aisee binti ni vyema mana umejitambua ukiwa hujaumia. toa no yako usaidiwe maisha kaz zipo nying hasa za kawaida kwa ambao hamna elimu.

    ReplyDelete
  3. namhitaji sana huyu binti. nipo kilimanjaro. ntampataje?

    ReplyDelete
  4. wadau kama mnataka kumsaidia msaidieni co kusema tu mm namhitaji namhitaji toeni namba awatafute

    ReplyDelete
  5. pole sana inabidi uende kwa wataalamu wa kusaikoligia kwa ushauri na uombe sana Mungu kwa yaliyopita yasijirudie,sio makosa yako ila imeshatokee na kwa vile umejitambua Mungu atakufungulia njia.

    ReplyDelete
  6. kazi za ndani labda kwa ma=wanamke asie na mume,we ulikopitia mbona atakaekupa kazi za ndani ana halahala ya kunyang'anywa Mume coz K yako ishazoea kugig sana utaweza vumilia maza house ana gig we upo next do?yataka moyo kukuajiri hgirl

    ReplyDelete
  7. nitafte nikusaidie 0752 734598

    ReplyDelete
  8. pole sana mydia hayo yote n mapito yamaisha mungu atakusaidia na inabid uombe sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad