AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku hii, nasema asante Mungu kwa sababu aliifanikisha siku hii kwa nguvu zake wqtu wanaonipenda walisheherekea siku hii vizuri walikunywa na kula na kusaza watu zaidi ya miasita walikuwa ukumbini wakishangilia pamoja nami haleluyaaaaaaaaaaaaaaa anachokiunganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha hata ieeje.."
Hongera sana lucy.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hongera sana dada Lucy
ReplyDeleteHongera dia, Mungu akawasimamie ktk maisha yenu ya ndoa!
ReplyDeleteHongera sana,Mungu awabariki.
ReplyDeleteUdaku Mmeumbukaje mana ndo wambea wa kwanza...mara oooh anatafta chet cha kufoji mana oooh kakimbia majibu nyie wenyewe mmejiumbua sasa
ReplyDeleteHongerazake kila lakheri utuletee Toto point 5
ReplyDeleteHongera sana sana kwa kufunga ndoa, hapo sasa unaweza kuzaa hata watoto idadi uitakayo, sio hao akina Siwema wanaojibebea mimba hovyo bila ndoa wakidhani ndio kishawishi cha kuolewa....... hovyoooooo!!
ReplyDeleteNDOA YENYEWE SIWEMA PALE APATE WAPI? KWA NEY AU MWINGINE? AANDIKE AMEUMIA , KUNAMDAU ALISHAMWAMBIA ALE PESA YA NEY KAMA INALIKA PALE NDOA HAKUNA , HILO NDO ALISHIKE NA KULIFUATA
ReplyDeleteHkongera Lucy
ReplyDelete