Mwigizaji Yusuph Mlela Ampiga Dongo Nora Amwita Kibibi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua.

“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule,  isitoshe ameshakuwa bibi hivyo nimemsamehe na sina tatizo naye kwani najua, lingekuwa jambo la maana kama angetufuata na kutushauri kama mkongwe lakini si kwa njia aliyofanya,” alisema Mlela.

Hivi karibuni Nora aliwataja mastaa wenzake wa filamu akiwemo Mlela, Chuchu Hans, Steve Nyerere, Kajala na Batuli akisema hawawezi kazi zaidi ya kuuza sura tu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama ww unajiamini nora asikushitue chochote hayo ni maoni yake tu

    ReplyDelete
  2. We mlela acha mambo yako unaakiri unaweza kusema nora amekuwa bibi au ndo huo umzee kijana wenu wakujifanya eti nyie hamtakuwa. Hata wewe utakuwa babu unadhani wewe hauta zeeka. Kwnani nawe bado mtoto hapo ulipo una elekea uzee. Kwani bibi yako au babu yako hana faida na uzee wake. kumbuka jana kama leo nawe utazeeka. Na kwanza huna ujana wowote umeisha expire.

    ReplyDelete
  3. Ni mtazamo wa Nora,na ana haki ya kusema kile akionacho Bongo movie.
    Tatizo hamtaki kukosolewa na ndio maana uozo unazidi siku hadi siku ndani ya
    bongo movie.Na wewe babu!

    ReplyDelete
  4. Mie na mlaumu salama walim-bana sana dada wa wtu na yy kasema kwamba hana bahati maskini nora hana kosa

    ReplyDelete
  5. tena wewe mlela usiongee chochote,hujui kuigiza,umebebwa na maugonvi yako na hemedi,lkn kwenye kazi hakuna chochote,yaani bongo waigizaji wakiume wapo wachache sana wanaofanya vizuri,lkn katika hao wachache wewe sio miongoni mwao,hujui kuigiza kaka,kama ungekuwa unajua umepanic nini sasa,mnatumalizia hla tu,maana watoto wetu wakirudi likizo,ndio wanaoangalia kazi zenu,tena mngekuwa na akili,mngefanya utafiti,mngegundua hayo maigizo yenu yanaangaliwa sana na watoto,watu wazima wameshawachoka siku nyingi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hajapanic kanjibu nora !! mlela mkali sana

      Delete
  6. MLELA OMBA MUNGU UCHEZE MOVIE NA NORA,MAANA NORA ANAJUA WATU WENGI WANAMFAHAMU NORA UTENDAJI WAKE,HIVI HAMUONI WASANII WANAIGERIA WANAVYOFURAHI WAKICHEZA NA WAKONGWE,NYINYI WASANII WA BONGO MNAJISAHAU SANA,KUDHANI NYINYI NDIO NYINYI,WASANII WAZAMANI MNAWAITA BIBI,KAZI MNAYO,NDIO MAANA SOKO LENU LIMEANGUKA,

    ReplyDelete
  7. mimi naaangalia Nigeria move, wabongo bure

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahaha,mimi naangalia za bongo nikienda kwa jirani kumtembelea nikute wenyewe wanaangalia,mwee.

      Delete
    2. miye naangalia za nyumbani kwetu tanzania penda chako!!hata kama kibovu ndo ulichonacho!!

      Delete
  8. Babu wee bibi ukimuona utamjua, yanini? kwenda kumzesha mwenzio na kumwita bibi wakati bado mbichi anawaka waka, watu wengine bana, et anajiona mtoto, kijana, mtoto kijana, ni mwenye umri chini ya miaka kumi na nane, wewe nawe babu tu,

    ReplyDelete
  9. Aisee kakoma mana mmemchambaje Loh! Akipitia udaku leo lazma alie

    ReplyDelete
  10. Nora alikosea sana kuwataja wenzie live vile wakati sio kweli. mlela kuna movie amecheza na jokate na sharo(marehemu mungu amlaze pema) ilikuwa bomba sana ina ubora wa kimataifa. sasa pale sioni mlela aliuza sura vipi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni wakati wa uwazi na ukweli,hata Nora makosa yake yanakosolewa vilevile.

      Delete
    2. Na Nora anahaki ya kusema,ni mtazamo wake,anakosolewa mkuu wa nchi,mlela ni nani?Aendeeeeeeeeee huko.

      Delete
  11. Mlela uko juu saana tu!! nora anatapa tapa tu!!! nora kaasahaulika ndo anatafuta kiki !!

    ReplyDelete
  12. nora alilazishwa ataje pia hakutaka kutaja alilazimishwa saana jaman angefanyaje?










    ReplyDelete
  13. Mlela nyamaza,unataka tutoe madudu yako humu mtandaoni?
    Heshima kwa dada Nora.

    ReplyDelete
  14. Wapi Natasha,wapi Monalisa,wapi Tea,Wapi kemmy,wapi sinta,wapi Hidaya,wapi wapi
    eeeeeeeeeee wengi jamani.

    ReplyDelete
  15. yani mlela komaa. tena ww ndo chefuu na mitatoo yako ya pico na kusuka kama demu. Unashindwa hadi na patcho mwamba?nora kibibi kamzaa mamako? mfyuuuuu au mwenzetu ww shoga? mbona umepanick kuliko wenzio? heheheiyaaa lenu hilo bongo mavi

    ReplyDelete
  16. mlela uko juu hao ni mawivu yaho tu usiwe na presha!! vitu vyako vinaonekana sio vya kuambiwa Big up mlela

    ReplyDelete
  17. kwenye ku act utabebwaje? unaweza sana kucheza movie mie nakukubali saana tu

    ReplyDelete
  18. kwahiyo ukilazimishwa kufilwa utatoa? acheni mambo ya kisenge nora kazeeka mnakataa nini kwani huyo aliolewa leo? tena si mwanamme mmoja kishaolewa mara tatu! nora alikuwa zamani bwana na magazeti aliuza lakini sasa ni bibi tu . big up mlela

    ReplyDelete
  19. alishazoea mpaka kuchezesha tunguli huyo

    ReplyDelete
  20. nora natafuta bahati je unaweza kunisafisha nyota?

    ReplyDelete
  21. ahaaa ni bibi mganga

    ReplyDelete
  22. Hapo umesema nora anatafuta kiki jamani alikuwa zamani jamanisio sasa!!!

    ReplyDelete
  23. hivi wee nora unaweza kujilinganisha na Kajala? Enzi zako zimepita

    ReplyDelete
  24. Eeeeeeeeeee! ukweli unaumaaaa.
    kwani alichokosea Nora ni nini jamani?
    kaulizwa na kajibu kama anavyojua yeye,sasa nyi mabwabwa mnaomtetea bwabwa mwenzenu mlela sijui hamuelewi au ni bora kubisha na kumchamba Nora.
    mnashangaza!kwani ukiulizwa sukari ni tamu utasema chungu wakati ni tamu?

    ReplyDelete
  25. Hahaha Nora zilipendwa!! kwishinee!! alidanganywa na salama kwanza alilazimishwa hata mwenyewe hana uhakika na alichosema!!

    ReplyDelete

Top Post Ad