AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ukweli ni kuwa Hiyo Page si ya Sitti Mtemvu kwa uchunguzi wangu mdogo niliyofanya, Page inaonekana imetengenezwa tarehe 17 Mwezi Huu na ina Likes 1486 mpaka wakati huu..
Ijulikane kuwa Sitti Akiamua Kujivua Taji Hawezi Kamwe kusema kupitia Mitandao ya Kijamii bali itabidi ipitie katika kamati ya Miss Tanzania.......
Usidanganyike...
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kama hajivui kakomaa atalivua bilakutegemea maanina zakeeeee idiot mrs lundenga a.k.a bibi bomba toka huko nameno yako mafupi kama punje za mahindi.
ReplyDeletetehtehteh
DeleteSIO KUJIVUA TU BADO UTAFUATIWA MPAKA MAREKANI HUKO ILI UJULIKANE HASA WEWE NI NANI USIJE UKAWA NI GAIDI WA KISASA HATA MAREKANI WATAKUPIGA BLACK LISTYA MAISHA YAKO YOTE KAZI BONGO HUWEZI KUPATA TENA,KWANI HAKUNA ATAKAE KUAMINI TENA. KARIBU UTUUZIE CHIPI CHANGOMBE
ReplyDeleteUSHAURI WA BULE KWA SITTI USINGOJE KUVULIWA TAJI VUA MWENYEWE!! MMEFANYA MAMBO YA AIBU SANA TENA SANA NIMEKUSIKIA MARA MBILI UKITAMKA KWA MDOMO WAKO KUHUSU UMRI WAKO MARA YA KWANZA KWENYE MASHINDANO ULISEMA UNA MIAKA 18 NA ULIVYOULIZWA NA WAANDISHI WA HABARI UMESEMA UNA MIAKA 25 SASA TUAMBIE UKWELI UMRI WAKO NI MIAKA MINGAPI?? PASSPORT MIAKA 25 JAMANI !!! WEWE VUA HILO TAJI SIO HAKI YAKO MPENDWA!!!
ReplyDeleteULIVYOULIZWA NA WAANDISHI WA HABARI ULISEMA UNA MIAKA 23 SIO 25 ILA PASSPORT NA LESENI MIAKA 25
ReplyDeleteYataka moyo, kama hawezi kuishi kwa ajili ya taji hili kwa nini alishiriki? asituchanganye, rudisha taji bibi bomba
ReplyDeleteKama hiyo message ni 'yakufoji' hakuna cha ajabu kwake, kwani yeye mwenyewe ana 'MASTERS OF FORGERY'
ReplyDelete