Wanawake na Ushamba wa Kubofya Simu, Mnatia Aibu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku hizi sijui ndio swagger au vipi unakuta kila msichana yupo bize na kubofya simu.

Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana unaonyesha jinsi ulivyo mpweke na haujiamini kinga yako ni simu.

Ebu fikiria unamkuta demu unamsalimia halafu kenyewe kanajifanya ka-cute kanakutazamaa huku kanabofya then kanashtuka eti ah unanisalimia? nitakukata ngumi mbili ufe.

Hivi nani aliwadanganya ukiwa bize na insta au wosapu ndio utaonekana classic washamba nyie?

Ndio maana siku hizi mnakuwa na makengeza kwa sababu ya ushamba wa kuchungulia jicho moja kwenye screen ya simu jicho lingine ndio linaaangalia mambo mengine chunguza vimacho vyao masista duu vimepinda karibia wote.

Acheni huu ushamba wengine tuna mikono mwepesi hatukawii kunasa makofi mtu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani umelazimishwa kumsalimia? Na pili, ni wanawake tu ndio wako busy na simu siku hizi? Acha kuandika vitu virahisi rahisi. Halafu, mwanaume mzima unatishia kupiga wanawake! There is a million things wrong with that, sijui hata mhariri wako amekuruhusu vipi urushe hii habari!

    Unapokuwa na akili fupi hivi hebu achana na kuandika vitu ambavyo vinasomwa na maelfu ya watu. Sio lazima kila mtu aandike mtandaoni.

    ReplyDelete

Top Post Ad