Moja ya Sababu za Wanawake Kudundwa na Wanaume Wao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana jioni nilipotoka kazini nikapitiliza nyumbani, nipo na mchumba wangu kama mwezi hapa alikuja kunitembelea. 

Nilipofika nikamkuta anaangalia tamthilia, nikavua nguo nikaenda kuoga.

Ukweli njaa ilikuwa imenibana kishenzi.

Nilivyotoka bafuni nikaambiwa, baby leo zamu yako kupika, nikadhani nimesikia vibaya, nikamuuliza tena na kupewa jibu lile lile. 

Nikavaa nguo nikaenda zangu pub nikaagiza chakula nikala(sio kwamba kupika siwezi ila kupangiwa ratiba).
Nilivyorudi nyumbani nikapitiliza moja kwa moja kulala. 

Baada ya muda akaanza kunifokea na kuniambia nilikuwa kwa malaya wangu na nimekula huko.

Nilipatwa na hasira nikamtandika vibao. Asubuhi tumeamka ananiambia anataka kuondoka, nikampa nauli na kumtakia safari njema. 

Nikamwambia ‘umepoteza maksi zaidi ya nusu'.
Mpaka sasa hajaondoka na anaomba tuyamalize.

Wadada, hata kama umesoma kiasi gani mambo ya haki sawa na kupangiana ratiba hayapo dunia hii. Nitapika siku nikijisikia na sio uanze kunipangia ratiba ya kupika.

Ugomvi mwingine mnautafuta bila sababu za msingi. 

Bora hata angeniambia naomba tusaidiane kupika leo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa hiyo kumpiga ndio nini? Umenzaa wewe hadi umpige? Eti kisa Amekwimba. Zamu yako kupika wat a stupid reason to beat someone kama ulikua hutaki kupika ungemwambia Sijiskii kupika nimechooka naenda kula pub na pía ungemwambia jinsi gani amekuboa sio kumpiga mtu tabia mbaya hizo za kupiga wenzenu mnatumia mabavu yenu Kwani ndoa au Mwanamke ndio kupika? Mungu hajasema ndoa ni kupika au Mwanamke ni kupika,Utakuja kupata murder case siku kama we hodari kupiga pigana na wanaume wenzio na kama umemchoka Mwambie aondoke hasira za kijinga achana nazo ongeeni vunjeni ukimya

    ReplyDelete

Top Post Ad