Jaji Frederick Werema awakatia simu Sauti ya Amerika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanasheria Mkuu aliyejiuzulu Jaji Fredrick Werema Amekata simu aliyopigiwa na Sauti ya Amerika walikuwa wanataka kujua kama kweli kweli Kajiuzulu. Walipiga simu wakamsalimia, badala ya kujibu salamu yeye kama Asante. Wakamuuliza tena, Tunasikia umejiuzulu kiti chako chako, Yeye akajibu sikua na kiti kisha akakata simu.

 Bonyeza Hapa Kusikiliza:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli jamaa ni mswahili,yaani hakuwa na kiti!Teh teh teh

    ReplyDelete
  2. Hakuwa na kiti bali kitanda pale bungeni, si unajua muda mwingi yeye na wasira wapo usingizini

    ReplyDelete
  3. hana lolote ni aibu yake aibu kubwa!!! kujiuzulu tu hakutoshi unatakiwa ushitakiwe!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad