AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mapenzi yake kwa Jokate yalianza kwa kificho na kwa usiri mkubwa hatimai imedhihilika kuwa mapenzi hayana siri baada ya kuanza kutoa picha zao ktk mitandao na kuonekana sehemu tofauti wakiwa wote, hasa ktk tuzo za Afrimama zilizofanyika South Africa.
Hii ni couple nzuri yenye kujua maisha hasa katika suala zima la kutafuta pesa licha ya kujituma kwa juhudi katika kazi zao.
Ikumbukwe Jokate ame sign mkataba usiokuwa na kikomo na kampuni ya wachina yenye thamani ya Tshs 8.2 billion
~Jamii Forums
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
utatumia hizo hela utazifanyia chochote,,utabakia 0.00
ReplyDeleteUlimaanisha hutazifanyia chochote au utazifanyia chochote? Division five noma
Delete