AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baadhi ya wasanii wanatajwa kutumika kuvuta pesa kutoka kwa wagombea zaidi ya mmoja, wakitumia mchakato wa Urais kama mwanya wa kujipatia pesa za bila jasho. JB anatajwa pia kuwa mtu wa karibu wa Edward Lowassa, hivyo kuzua sintofahamu juu ya ushiriki wake katika kuwashawishi wasanii wenzie wa Bongo Movie kukutana na kumuunga mkono January Makamba.
Hongereni wasanii kwa kutumia vema fursa.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ukipata kitumie, ukikosa kijutie, wakipata uongozi hawatawajua tena, bora mchukue chenu mapema kwa yeyote atakaye jipendekeza.........
ReplyDelete