Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mh.Sungu Mbunge wa Mbeya Mjini  amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.

Habari zinadai kuwa ajali hiyo imesababishwa na Break za Gari Kushindwa kufanya kazi wakati wanateremka katika mlima huo mkali ikabibidi waigongeshe ukutani maana bila hivyo wangetumbukia korongoni.
Wote waliokuwa katika gari hilo wapo Salama Kabisa..
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heee sugu rais wa mbeya nakupenda sana. Mungu akuepushe na mabalaa ya dunia hii uje utuongoze tena kipindi kijacho wanaokutakia mabaya washindweeee !!!pole kwa yaliyokukuta na Mungu akuongoze kokote uendako mbunge wangu.

    ReplyDelete
  2. Mi nina bad feelings na huyo meya wa hapo jijini mbeya.nahisi anataka kuwamaliza viongozi wote wa chadema. Mbayaaaaaa kweli huyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad