Wastara Amchunguza na Kumpiga Msasa Bond Kabla ya Kumuweka Wazi Kama Mpenzi Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza.

Akipiga stori na paparazi wa GPL, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini.

“Bondi ninamchunguza kwanza na kumpiga msasa awe wa tofauti na alivyokuwa zamani sijamtangaza rasmi kwa sababu kuna vitu bado sijajiridhisha kwake na naendelea kuvifanyia kazi nikijiridhisha basi ndani ya mwaka huu nitamtangaza rasmi,” alisema Wastara.
------------------------
Every day is a gift from God. There's no guarantee of tomorrow, so that tells me to see the good in this day to make the most of it.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hivi hawa wasanii wetu ni mamburulaaaz au? yaani kila kitu wanatupia mtandaoni... kuanzia siku ya kutongozana, majibu waliyopeana, walichokubaliana, walivyobusiana, walivyolalana hadi picha n.k Kwa kweli hiyo siyo sifa, ni ulimbukeni, ushamba na uzumbukuku..

    ReplyDelete

Top Post Ad