Msanii Chege anaswa live na ndumba jukwaani..Hirizi Yaning'inia Live Mkononi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha iliopigwa jukwaani wakati mshakaji akiwa busy kukata mapanga...pengine ile dhana ya wasanii na ndumba ni dam dam inaanza kujidhihirisha ..

No wonder Ally Kiba alipanda ukuta baada ya kuona hali ya sintofahamu ...na alikwepa kushiriki project ya Lekadutigite..mdogo wake akajifanya mbishi kwenda Kigoma Kuperform alichokipata ntawaleteeni uzi spesheli...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CHEGE NOMA HIYO

    ReplyDelete
  2. acheni ushirikina pambalu nyinyi, jamaa kavaa kitambaa kuonyesha msiba

    ReplyDelete

Top Post Ad