AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa mtandaoni kuwa ile mimba yake aliyokuwa akiilea kama yai kwa Zari imechoropoka, Diamond alisema:
“Hee! Eti mimba ya Zari imetoka! Wanaosema hivyo walaaniwe. Mbona Wabongo wazushi sana, itakuwaje hivyo halafu nisijue. Zari yuko fiti na mimba inaendelea vizuri, ona picha za kitumbo (anamuonesha paparazi picha za Zari kwenye simu yake).
“Kuna wapuuzi wachache tu wanakaa na kujitungia mambo yao ili wajenge mada zao, niliona sana watu wakijibizana na kubishana juu ya hilo, lakini nikutoe wasiwasi kuwa hakuna taarifa kama hizo.”
GPL
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
WACHAWI WAKUBWA!!! NA WASHINDWE!!!!!!!!
ReplyDeleteBaba kijacho
ReplyDeleteDAh mtakufa na vijaba vya roho mwacheni mtoto wa watu apumue khaaa!!!
ReplyDeletePILIPIL USIYOILA INAKUWASHIA NINI?
ReplyDeleteduh watanzania tufanye kazi tuache kufuatilia maisha ambayo hayatuingizii hata sh. 10
ReplyDelete