AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
'Nilisikia kipindi fulani kuwa kuna mtu mmoja aitwaye zitto anataka kugombea jimbo moja wapo la Dar es salaam...Nataka niuambie umma ya kuwa nitopayari kupambana na huyo mtu anayeitwa zitto kwenye jimbo lolote atakalo tangaza hapa Dar es salaam na kuachana na Mwanga niliyoijenga tokea mwaka 2011na kumuachua kijana makini salimu simbano marijani (Chadema) na kupambana na mtu huyo... Sina hofu nipo vizuri kama huyo mtu anayeitwa zitto anao huwo uwezo tuandaliwe mdahalo wa live mimi na yeye watu wajimbo husika na wasiyokuwa wajimbo watupime kuanzia hapo.
Nataka tuonyeshe umma kuwa mtu huyu alikuwa anabebwa na taasisi na hana uwezo kama yeye binafsi...
Henry kilewo
2015 mwanga we shall overcome.. '
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Umelogwa na nani wewe mavi matupu hamna haja ya kupiga makerere njoo mwanza ufanye mkutano uone kama utapata hata watu 10 tu ndo utajipima
ReplyDeleteUmelogwa na nani wewe mavi matupu hamna haja ya kupiga makerere njoo mwanza ufanye mkutano uone kama utapata hata watu 10 tu ndo utajipima
ReplyDeleteUmelogwa wewe pimbi wewe
ReplyDelete