AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Siyo kwa twist hizo Na mateke hayo King! Best performer tehe tehe!!!! Mi shabiki wako inabidi nimeze panadol Tu nivumilie maumivi miezi minne video ndiyo hii?
ReplyDeletevidio ni nzurisana Kiba kajitahidi. hongera zake.
ReplyDeleteSOO NICEEEEEEEEEEEE, INDEEEEED
ReplyDeleteimependeza kwakweli Ali kuwa zaidi mbunifu utafika mbali.
ReplyDeleteNampa hongera sana Kiba kajitahidi sana na vidio ni nzuri, haina makolombezo meeengi.
ReplyDeleteITS CLEAR AND NICE ONE.
ReplyDeletependa sana Ali kiba na hii nyimbo ni nzuri.
ReplyDeleteBAD VIDEO LOW QUALITY!!!
ReplyDeleteKwa level yake kajitahidi ila usirudie kosa hakikisha audio Na video zinatoka pamoja audio mwezi wa pili mwishoni video mwezi wa sita mwishoni looh halafu eti King! King kacchokaaa!!
ReplyDeleteni nzuri sana imependeza we acha tu
ReplyDeleteVideo hii Kama wanjera good quality lakini kilichomo ndani uuh! Kiba kwenye video ajipange Sana style ya kucheza moja Kama kwenye mwana hao wadada wanacheza kwa nguvu,mashabiki mpeni ukweli ajirekebishe ndo ataweza kufika mbali.
ReplyDeleteN Zuri sanaa
ReplyDeleteSafe sanaa
ReplyDeletekila mtu ana staili yake, hawezi kumuiga Dai kila vidio anarusha miguu mbona humuoni? Kiba kajitahidi hapendi vidio iwe na makororo meengi.
ReplyDeleteWimbo mzuri....... Video baaaaaaaaaaado sana!!!!!! Kaza buti.
ReplyDelete(h) Hongera. Imekaa poa
Nzuri kipenz
ReplyDeletekiba bado sana wimbo mzuri video mbaya sana, bado jitahidi
ReplyDelete