Majibu ya Zari kwa wanaomshutumu kutoheshimu Mwezi wa Ramadhan yanashtua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari the Bosslady amejikuta kwenye kitimoto kutokana na mashabiki kumshambulia mtandaoni kwa mavazi yake katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Mama huyo mtarajiwa wa mtoto wa Diamond amelazimika kutumia Kiswahili kuwajibu wale wanaomshambulia kwa mavazi yake katika kipindi hiki ambacho waislamu duniani kote wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, na yako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo,” ameandika Zari kwenye Instagram.

“Oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress???? HAYA NI MAISHA YANGU,”ameongeza.

“Na sasa your all Gods’ judges now…. how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? Huh? How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months you’re the worst monsters this world has ever seen. Now u wana come here and judge my faith by the dress?”


“Allah bless all of you….atleast I ain’t acting snitchy, am being ME. And oh, if you happen not to like what you see in ur news feed (my page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirer dah majirani. Habari nakazi mnayo……like I always say, no bad vibes from me. So stay blessed.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tunapokwenda ni safari nzito sio kusema mdomoni hapo utakapolifumba jicho ndio utajua umuhimu wa kuuheshimu mwezi wa ramadhani wewe na babe wako.

    ReplyDelete
  2. Usiwe mjinga sio lazima ikiwa kuna mashehe wanaiba inafanya na wewe ukiiba ni sawa, unajisahau wewe kioo cha jamii na unasema kuwa wewe ni muislamu umesahau Mwenyezimungu amewaamuru waislamu mkiona jambo si sawa, unatakiwa ulisimamishe kwa mikono yako, kama huwezi likemee na ukishishindwa kabisa lichukie katika nafsi yako. lakini hiyo ni d hatua dhaifu. Sasa wewe unasema ni muislamu na waislamu wamefuata maandiko yao wameamua kuchukuwa hatua ya pili kukemea unachofanya si kizuri kwa mwanamke wa kiislamu haswa katika huu mwezi wa Ramadhan wa toba, unataka kuleta mambo ya usanii badala ya kuomba msamaha na kujirekebisha.

    ReplyDelete
  3. Mungu ni wa miezi yote sio wa mwezi mmoja tu. Aombe msamaha kwa mwezi mmoja tu ili iweje sasa? mnajidanganya tu mungu gani wa kufanyiwa ibada mwezi mmoja alafu miezi 11 unafanya uchafu wa kila namna? mwaya vaa unavyotaka kwa sbbu mwezi 1 hautakusaidia chochote kama utaacha kufanya toba kwa miezi yote 12 tuliyopewa na Mungu hapa duniani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani kakuambia aombe msamaha kwa mwezi mmoja ametuhumiwa kufanya kitendo hichi katika mwezi huu wa Ramadhani ambao umbao una uzito wake kuwa mwezi mtukufu na unajulikana wazi kuwa mwezi wa toba, haina maana uache kufanya ibada mazuri katika miezi mingine ijayo.

      Delete
  4. ZALI ACHANA NAO HAYO NI MAISHA YAKOO!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. naungana na wewe kila mtu ana maisha yake

      Delete
  5. Avae hijabu mtaonaje tumbo jamn na nyie biashara ni matangazo anatafuta serengeti boy mingine......hahahaaa amakweli Mungu anakazi na waja wake tatizo ubishoo usiokua na mana umezidi

    ReplyDelete
  6. kama yeye amesema ametoka katika mifupa ya kiislam na babe wake ametoka ktk mifupa hiyo hiyo si vyema kufanya maovu hususan ktk mwez huu mtukufu kuliko miezi yote na angalau angaliuheshimu tu then wakaendelea na mabalaa yao ya kidunia

    ReplyDelete
  7. JAMANI, HEBU TOENI BOLITI KWENYE MAJICHO YENU NDIPO MTAONA KIBANZI KWA JICHO LA MWENZENU. NYIE MUNGUUU? ZARI KEEP IT UP! KWANZA HUNA HAJA YA KUJIBIZANA NAO WANAKUTIA STREES MTOTO WAKO APATATE MADHARA! KIMYA KIMYA WACHUNIE CHUUU!

    ReplyDelete

Top Post Ad