AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hivi karibuni tena , mwanamitindo na manager wa muigizaji Wema Sepetu aitwaye Martin Kadinda, alifanya kioja cha aina yake ambapo kama ilivyokuwa kwa Ommy Dimpozi, na yeye aliamua kupiga picha huku akiwa amevaa suruali iliyoonyesha kitu mfano wa maumbile ya kiume, hali iliyozua maswali ya sintofahamu.
Leo hasubuhi kupitia ukurasa wake wa Instagram, muigizaji na mchekeshaji maarufu bongo, Salma Jabu, maarufu kama Nisha , naye amepost picha ikimuonyesha amevaa surual inayoonyesha maumbile ya kiume wakati yeye ni mwanamke, hali iliyozua mijadala uku wengi wakidai mastaa hao(martin na ommy ) wanafanya mchezo huo mchafu wa kuweka vitu vinavyofanana na viungo vya kiume na kuwadanganya watu, kuwa ni maumbile yao, either kwa kutaka KICK au njia mojawapo ya kujitafutia wanawake kama ilivyo kwa mastaa wengi wa kike, wanavyo post picha instagram, ikiwaonyesha wana makalio makubwa ili wawavutie wanaume wakati sivyo walivyo, wengi wao wamekuwa wakitumia application maalumu ya kubadili maumbile yao.
Baadhi ya wadau mbali mbali wamewataka mastaa hao kuacha huo mchezo mara moja, licha ya kujishushia heshima zao, mastaa hao wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea matendo yaliyo kinyume na maadili yetu na sio kuchochea maadili mabovu.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
AIBU YAO WANAUME HAO
ReplyDeleteDUUUH
ReplyDeleteuyu nisha atakuwa anajiself services tu hana lolotee uwiii mweee!!
ReplyDeleteSMS send! Kama una ndogo jikubali najiamini haitakuangusha!!
ReplyDelete