Ukioa Mwanamke Ambaye Hana Bikira Umeoa Mke wa Mtu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanajanvi, kiukweli bila kupepesa macho, ukioa mwanamke ambaye hana bikira hakika umeoa mke wa mtu. Mambo haya yamewakumba wengi,mwanamke hatakaa akutii kabisa viumbe hawa huwa na shauku ya kupenda akiwa na hiyo siri na wakati anaitunza mara nyingi huwa anawaza ni jinsi gani itakavyokuwa siku anatoa hiyo zawadi, anapopata mtu hummwagia furaha yake na maumivu pia, hapo ndipo hutunza kumbukumbu ya milele ya mfungua siri huyo, wanawake wengi huwa hawaachi watu hao. Akikutana naye wanajikumbusha sana, usiombe mkeo awe anaenda mapunziko likizo ya desemba peke yake, ukiona analazimisha jua kamkumbuka huyo mume na akienda ataliwa tu. Jamani wasichana tunzeni zawadi hii muhimu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ujinga mtupu...mbona nyie mwanaume mnaoa hamna bikira zenu kwann msioe waliowatoa bikira!?
    Kila kitu wanawake wanawake ovyoooooo!

    ReplyDelete
  2. PUMBAVU WEWE HUYU MTU NAYE ANA BIKIRA????????????

    ReplyDelete
  3. hivi nyie udaku muwe mnaangalia post za kutuma jamani!!! this is too much!!

    ReplyDelete
  4. Haina ukweli wowote, not reliable!

    ReplyDelete
  5. Teeena shenz type lol.
    kalale mbele ww mwanakwenda uloleta huu uzi

    ReplyDelete

Top Post Ad