ROSE MHANDO Amkimbia Meneja Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kumkimbia meneja wake, Alex Msama licha ya kuwepo kwa makubaliano kati yao yaliyohusu kulipiwa deni la kiasi cha shilingi milioni sita alizokuwa akidaiwa msanii huyo mwenye jina kubwa.

Alex Msama ambaye ni meneja wa Rose muhando.

“Meneja wake alikubali kumlipia pesa zote (6,500,000) ambazo Rose alikuwa anadaiwa baada ya kushindwa kuhudhuria tamasha moja huko mikoani, alitakiwa baada ya siku chache aingie studio kufanya kazi, lakini ametoweka na haifahamiki yupo wapi,” kilisema chanzo chetu.

Msama alipotafutwa alikiri kutokea kwa tukio hilo, akisema haeleweki Rose ana matatizo gani kwani walikubaliana baada ya siku chache aingie studio na kurekodi, lakini mpaka hivi sasa haijulikani alipo na hata simu yake ya mkononi haipatikani.
GPL

Gazeti hili lilimtafuta Rose bila mafanikio kwani simu yake haikuwa hewani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ROSE ASHAKUWA TAPELI SUGU ATAWASUMBUA SANA! THEN HAPO ATASINGZIA ANAPGWA MAJUNGU? ROSE JIREKEBSHE WE NI MWIMBAJI MZURI TENA SANA TATIZO USWAHIL! SIJUI NENO LA MUNGU UNALOIMBAGA UNAWAIMBIA WENGNE! WE UNAJIVINJARI NA SHETANI WA UTAPEL SIJUI ATAKUTOKA LIN> KAOMBEWE!

    ReplyDelete
  2. jamani beba mzigo kwa ajili yake omba kwaajili yake maana sheteni anatafuta kilichopotea kwake ili akirudishe usimlaum muombee na mungu afanye kazi ya kumbadililisha beba mzigo kwa ajili yake usiache kumuombea.....omba mpaka hizo roho zimtoke na mungu atakubariki ukibeba mzigo kwa ajili yake.......

    ReplyDelete

Top Post Ad